wifi yako ni dada ni mchaga wa rombo,kwa hiyo kwangu shaka ondoa!hutapiga magoti
heheheheh!i can see shemeji ON HIS WAY TO HEAVEN!
tumsifu yesu klistu shemeji...........
unaelekea wapi dada lake mimi?Hiyo ndio raha ya wachaga, hawamind mambo ya magoti. Huku ninakoenda magoti hao wanaona kama ndio heshima kwa msichana.
Hiyo ndio raha ya wachaga, hawamind mambo ya magoti. Huku ninakoenda magoti hao wanaona kama ndio heshima kwa msichana.
kubadili mawazo haiwezekani, nataka mbinu za kumdhibiti huyu wifi.
Milele Amina Shemeji. Naona mtoto Pretty anaogopa kupiga kagoto kumsalimia wifi. Watoto wa mjini bana! Nasubiri kipyenga kipulizwe nihitimishe safari ya kuingia Heaven. Mpwa naona bado kuamka.
dah!
dada lake mimi kanda ya ziwa naona kushoto sana.watakuwa wanakuslap kila siku.kwanin usimalizane na chrispin?mim nimechukua changu mapema nyumbani kwao.na wewe nenda huko huko
mpwa jana alikuwa chawote-bar.mimi nilipitiliza home,si unajua nilikwambia nina kazi fulani?
hehehe!wasukuma wana kitu kimoja kizuri sana na spesho wanawake wanakifurahia.WASUKUMA WANAJUA KUPENDA,WANAJUA KUKEA!na hamna mwanaume anakufa vibaya kwa mwanamke kama msukumaTatizo huyu mtoto mbishi. Huo ushauri nimempa mapeeema lakini kabisha. Inaelekea huyo msukuma habari yake si mchezo. Hahaha!