Mawifi bwana...

Hapa je ?!

Decision
Huyu wifi sijui alikuwa na nia gani?
Kama unavyojua katika kumfatilia mwanaume, kuna siku dada yake (wifi yangu) akamtumia text mdogo wake (boyfriend wangu) , mimi nisijue kama yeye ni wifi yangu, maana mimi nilikuwa nina namba ya wifi nyingine sio hiyo aliyoitumia kwa mdogo wake.

Nikaanza kumtext kwa simu yangu "sweet micc u! I love u so much" . Sasa dada yake namba yangu anayo, baadae nikaja kugundua kuwa ni wifi, nikamwomba msamaha, nikajua yameisha. Mmh! asimpigie mdogo wake simu nini?! Na kumwambia mdogo wake kilichotokea, mmh hawa mawifi jamani!!

aliyeelewa anieleweshe na mimi
naona kunde maharage chorokona mbaazi
Alielewa aniaelekeze.
Dah, spidi yote hii ulikuwa unakimbilia JF tu!.
Haya sasa umefika, tulia andika vizuri
Kabisa kabisa
Ni mimi tu ndio sijaelewa au
Nielewe wapi auntie imenibidi niwakumbushe wana wa adamu kuhusu corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na mawenge yaliisha au ndo yalitoka kwa mawifi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekusikia mwenyewe ukimsimanga yule msichana... ati kampendea nini mtu kama yule...



Cc: mahondaw
 
Acha kufananisha mawifi na mambo ya kipuuzi kama hayo sawa.

Cha muhimu anza kujilinda na Covid 19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…