Huyu wifi sijui alikuwa na nia gani? Kama unavyojua katika kumfatilia mwanaume kuna siku dada ake kamtumia text mdogo ake mimi nisijue kama yeye maana mimi nilikuwa na no ya dada yake nyingine sio hiyo aliyoitumia kwa mdogo ake.
Nikaanza kumtext sweet micc u! I love u so much. Sasa dada ake no yangu anayo badaye nikaja kugundua ni wifi nikamwomba msamaha, nikajua yameisha. Mmh! asimpigie mdogo ake simu nini kumwambia mdogo wake akaanza kunisema, mmh hawa mawifi jamani!