jaribu kutumia muda mwingi kujishughulisha [kulingana na umri wako] pia epuka kuangalia picha za ngono,[kama huwa unafanya hivyo] epuka magenge au makundi ya wenzako wanao jadili mambo ya wanawake kwa muda mrefu. Pia kama umefikia umri wa kuoa plz fanya mipango hiyo kwa kutafuta wife of ua type