Mawazo yote ya kibiashara weka hapa.

Nipe moja kati ya hizo 7 nikuandalie project write up nzuri. Hakuna ushauri wa bure.
 
project write-up bila wazo la biashara ... wewe vipi?

after a good business idea then follows a bankable business plan
 
Shughuli zote nitazifanya mimi kuanzia wazo hadi mpango wote wa biashara. Hiyo M moja ndiyo nailenga.
 
wasiliana na wenzako wa hapa waliosema wana pesa wanatafuta biashara. Wekeni nguvu pamoja mfanye jambo sizeable...
 
Mi nina milioni 7, tusaidianeni mawazo ya kibiashara.

Anzisha garbage collection firm. Inalipa sana. Nunua dustbins, mikokoteni ya chuma, tafuta watu, wape training, nunua overalls, gloves, mask, kofia na tafuta chumba kiwe ndo ofisi rasmi. Wateja wako wote waje kulipia ofisin kulingana na makubaliano yenu. Mimi nina kampuni ya namna hii, inanilipa sana na nimetoa ajira kwa wengine pia.

Sounds so good. Nimeipenda sana hii idea
 
Anzisha garbage collection firm. Inalipa sana. Nunua dustbins, mikokoteni ya chuma, tafuta watu, wape training, nunua overalls, gloves, mask, kofia na tafuta chumba kiwe ndo ofisi rasmi. Wateja wako wote waje kulipia ofisin kulingana na makubaliano yenu. Mimi nina kampuni ya namna hii, inanilipa sana na nimetoa ajira kwa wengine pia.

samahani kwa mimi ambaye kizungu kimenipa kushoto, ni ile biashara ya kukusanya vyuma,chupa na matakataka mengine??
 
njoo nazo hapa mango garden tupange mikakati tukishushia na moja moto moja baridi
 
hiyo m.7 bora ufungue duka la nafaka za jumla :eyebrows:ndugu yangu. demand yake hko ju cku zote. uchague location nzuri then usimame mwenyewe ili uisome biashara na mzunguko wake kama mwaka hv.
 
Hili wazo ninalo kitambo nitakutafuta mkuu unipe skills,bado naweka mambo sawa.

Back
Top Bottom