Nimedate mdada of my age (26), ni kama mwezi mmoja umepita toka aniambie kuwa ana mtoto mmoja. Kiukwel tunapendana sana na sitaki kumcheat wala kumpotezea muda wake. Napata mawazo ya kumwoa in future ila naomba kwa wajuzi wa mambo mnishauri kwa jinsi ilivyo naweza nikapata changamoto gani mbeleni kama nikimwoa
Changamoto zitakuwepo tu. Hazihusiani na yeye kuwa na mtoto, wala nyie kuwa na umri mmoja wa 26, wala kwa kuwa mmedate kwa muda huo, bali zitahusiana na tabia zenu wawili, na jinsi mtakavyokuwa tayari kupambana nazo...
Kikubwa mnapendana! Lakini napata shida kidogo unauhakika gan kwamba nae anakupenda kiukweli na si changa la macho apate pa kutokea? Umjaribu kwanza kwa jambo lo2te gumu utagundua kitu? Kuishi na mtu hd kufa si mchezo kaka?
wakuu asanteni kwa ushauri wenu pia ningependa kupata japo experience yenu kidogo kwenye couples za design hii kama zinakuwa na mafanikio au vipi na kama kuna matatizo mostly yanakuwa yapi ili nijue naanza kuweka msingi gani wakuu
Lengo sio kuzikimbia ila nahitaji kujipanga kwanza kabla sijaingia huko ndo mana napenda nijue baadhi ili nipambanue zilizo ndan na nje ya uwezo wangu wakuu. Nahitaji kufanya maamuzi sahihi nisije nikajilaumu badae
changamoto lazma uzpate ukzngatia mwenzio ana mtt na baba mtt lazma atakuja kumtzma mwanae au mama mtt atakuwa anampeleka mtt akamsalimie baba yake. Ila ucjal nyuk kufia kwenye masega n jambo la kawaida.