PostGE2025 Mawazo yangu

PostGE2025 Mawazo yangu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

sio lazima nikuelewe

Senior Member
Joined
Sep 26, 2025
Posts
108
Reaction score
207
Binafsi sina chama ila ni muumini wa haki inayo leta amani, na si amani ya kubumba, inayowapa nguvu kikundi flani cha watu, kuwafanyia wengine chochote watakachoweza ikiwezekana hata kuua na wasiulizwe na mtu yeyote

Hivi? Wanao debate ( kuitetea serikali ) wanaitetea kwenye lipi tukiachilia mbali udini na amani wanayo ihubiri!? Je!? Kwa hali hii jinsi ilivyo? Serikali inaona kufanikiwa kuongoza nchi kwa kipindi gani? Kama mwanzo tu wa hiyo miaka mitano inayo nadiwa ipo hivi!? Kuna raha gani ya kua kiongozi ama kuongoza kwenye hali kama hii!? Tena hali ambayo haijawahi tokea Tanzania!? Na isiyo tabirika!? Kua kama hakinuki leo, basi kitanuka kesho? Lockdown mara kwa mara!? Hizi kazi zingine zinafanyikaje kwa mazingira kama haya!? Ni kuangaika na hali ya usalama tuu mwanzo mwisho wakati tuna vipaumbele vingine!? Je? Mwendo wetu ndio huu kwa miaka hiyo mitano?

Hili kundi lingine siliongelei wana mabango yao wana maswali yao, wana hoja zao, na mambo yao ambayo nao pia wapo kama mimi kwenye kujiuliza, wapewe majibu yao, tuendelee na mambo mengine. Binafsi ninahali mbaya na sitamani kabisa haya mambo kuendelea. Kama kuna la kumalizana? Malizaneni wengine tuendelee na maisha mengine
 
Serikali na watendaji wake pamoja na watumishi wa umma wengi ukitoa wachache ni wavivu na wanapenda mapumziko ya kidwanzi nyumbani...kwani ndio staili yao hata wakienda maofisini huwa wanapunga upepo tu ndio maana huduma ni mbovu...they don't care....wenyewe wanasema wako kwenye payroll...
Sasa kwa mtu aggressive lazima awe na stress kwa sababu ana mipango na anaona mbali...
 
Yaani hua nikijikuta nina swala lolote linalo hitaji nipitie ofisi ya serikali ya mtaa hua nawaza mara mbilimbili, sipendi foleni kabisa, na taratibu za kupotezeana muda
 
Binafsi sina chama ila ni muumini wa haki inayo leta amani, na si amani ya kubumba, inayowapa nguvu kikundi flani cha watu, kuwafanyia wengine chochote watakachoweza ikiwezekana hata kuua na wasiulizwe na mtu yeyote

Hivi? Wanao debate ( kuitetea serikali ) wanaitetea kwenye lipi tukiachilia mbali udini na amani wanayo ihubiri!? Je!? Kwa hali hii jinsi ilivyo? Serikali inaona kufanikiwa kuongoza nchi kwa kipindi gani? Kama mwanzo tu wa hiyo miaka mitano inayo nadiwa ipo hivi!? Kuna raha gani ya kua kiongozi ama kuongoza kwenye hali kama hii!? Tena hali ambayo haijawahi tokea Tanzania!? Na isiyo tabirika!? Kua kama hakinuki leo, basi kitanuka kesho? Lockdown mara kwa mara!? Hizi kazi zingine zinafanyikaje kwa mazingira kama haya!? Ni kuangaika na hali ya usalama tuu mwanzo mwisho wakati tuna vipaumbele vingine!? Je? Mwendo wetu ndio huu kwa miaka hiyo mitano?

Hili kundi lingine siliongelei wana mabango yao wana maswali yao, wana hoja zao, na mambo yao ambayo nao pia wapo kama mimi kwenye kujiuliza, wapewe majibu yao, tuendelee na mambo mengine. Binafsi ninahali mbaya na sitamani kabisa haya mambo kuendelea. Kama kuna la kumalizana? Malizaneni wengine tuendelee na maisha mengine
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251127_132017_0000.png
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251203_174536_0000.png
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251127_004318_0000.png
 
Mbona kama mbinu zote hizi zilisha tumika ila ndio ikawa kama kumpigia mbuzi gitaa, haya mambo hayajaanza leo kua ni ghafla, yalianza muda mrefu, watu wamekemea sana maswala flani flani ikiwemo asasi za kiraia ila hakuna kilicho sikilizwa na mwendo ukaongezwa mara dufu, mpaka yaakanza kufanyika uraiani mchana kweupe, nakumbuka mwanasheria mmoja alitaadharisha serikali kwa kuipa maoni kua, mwendo huo waliokua wanaenda nao itafika mahala hawa mnao wafanyia ukatili watachoka na serikali itasemeshwa kwa lugha ngumu, sasa yamefikia hapa mnataka warudi nyuma kwenye mazungumzo na ushirikiano ambao mwanzo hamkuutaka 🤭🤣🤣 malizaneni tuendelee na mengine
 
Watu wao hawataki kuangalia uwajibikaji wa serikali katika hili jambo wao wanaangalia waandamanaji tu.
Yaani ni kama hamna kazi zingine za kufanya na uhalisia ni hamna kazi inayo enda kwa sasa, na zinazo enda zinafanyika kwa mbinde mbinde sana, askari kwa sasa wanafanyakazi ambazo hawaamini kama uaskari wenyewe walio ajiriwa nao ndio huu au lah! Achilia mbali wanajeshi wetu. Je!? Ndio hivi kwa miaka mi5?
 
Binafsi sina chama ila ni muumini wa haki inayo leta amani, na si amani ya kubumba, inayowapa nguvu kikundi flani cha watu, kuwafanyia wengine chochote watakachoweza ikiwezekana hata kuua na wasiulizwe na mtu yeyote

Hivi? Wanao debate ( kuitetea serikali ) wanaitetea kwenye lipi tukiachilia mbali udini na amani wanayo ihubiri!? Je!? Kwa hali hii jinsi ilivyo? Serikali inaona kufanikiwa kuongoza nchi kwa kipindi gani? Kama mwanzo tu wa hiyo miaka mitano inayo nadiwa ipo hivi!? Kuna raha gani ya kua kiongozi ama kuongoza kwenye hali kama hii!? Tena hali ambayo haijawahi tokea Tanzania!? Na isiyo tabirika!? Kua kama hakinuki leo, basi kitanuka kesho? Lockdown mara kwa mara!? Hizi kazi zingine zinafanyikaje kwa mazingira kama haya!? Ni kuangaika na hali ya usalama tuu mwanzo mwisho wakati tuna vipaumbele vingine!? Je? Mwendo wetu ndio huu kwa miaka hiyo mitano?

Hili kundi lingine siliongelei wana mabango yao wana maswali yao, wana hoja zao, na mambo yao ambayo nao pia wapo kama mimi kwenye kujiuliza, wapewe majibu yao, tuendelee na mambo mengine. Binafsi ninahali mbaya na sitamani kabisa haya mambo kuendelea. Kama kuna la kumalizana? Malizaneni wengine tuendelee na maisha mengine
hii ni ishara ya wazi kuwa inayojiita serikali haikubaliki na wanaichi wengi na ni ushahidi kuwa waliiba uchaguzi kamwe hakutakuwa na utulivu ukizingatia hawana mtu mwenye uhalali wa kushauri labda mataifa kutoka nje
 
Yaani ni kama hamna kazi zingine za kufanya na uhalisia ni hamna kazi inayo enda kwa sasa, na zinazo enda zinafanyika kwa mbinde mbinde sana, askari kwa sasa wanafanyakazi ambazo hawaamini kama uaskari wenyewe walio ajiriwa nao ndio huu au lah! Achilia mbali wanajeshi wetu. Je!? Ndio hivi kwa miaka mi5?
Wenye kushabikia tu serikali kwenye hili hawaangalia kwa upana hili jambo.
 
Back
Top Bottom