kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,365
Nataka kuuliza labda naweza kuwa mgonjwa Bila kujijua
Nina tatizo la kufikiri magonjwa tu. Yaani siku hizi nafanya nikifikira kuwa naumwa ugonjwa fulani. Cha ajabu na Ninaanza kusikia dalili za ugonjwa ule kadiri ninavyozidi kuwaza kuhusu ugonjwa huo na ndivyo nao unavyozidi kupanda kabisa mpaka kuna muda najishangaa
Pili Hata niwe bize vipi na vitu fulani Lazima akili yangu ifikiri kuhusu kifo tu Mpaka Kuna wakati napinzana na mawazo yangu nikiwa njiani utakuta naongea peke yangu. Mfano akili yangu ikiwazia kuwa ninataka kufa ninaanza kupinzana na mawazo haya kwa kukataa kabisa tena nakataa kwa kuongea kwa sauti kubwa kabisa Mpaka wengi wanaoniona wanafikiri nimepatwa na wazimu
Ndugu zangu hali hii inaepukika vipi?