Mawazo yananitesa

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Nataka kuuliza labda naweza kuwa mgonjwa Bila kujijua

Nina tatizo la kufikiri magonjwa tu. Yaani siku hizi nafanya nikifikira kuwa naumwa ugonjwa fulani. Cha ajabu na Ninaanza kusikia dalili za ugonjwa ule kadiri ninavyozidi kuwaza kuhusu ugonjwa huo na ndivyo nao unavyozidi kupanda kabisa mpaka kuna muda najishangaa

Pili Hata niwe bize vipi na vitu fulani Lazima akili yangu ifikiri kuhusu kifo tu Mpaka Kuna wakati napinzana na mawazo yangu nikiwa njiani utakuta naongea peke yangu. Mfano akili yangu ikiwazia kuwa ninataka kufa ninaanza kupinzana na mawazo haya kwa kukataa kabisa tena nakataa kwa kuongea kwa sauti kubwa kabisa Mpaka wengi wanaoniona wanafikiri nimepatwa na wazimu

Ndugu zangu hali hii inaepukika vipi?
 
Duh! Kweli unaumwa maana hicho kiswahili chako ni mtihani tosha pole mkuu.
 
Nataka kuhuliza labda naweza kuwa mgonjwa Bila kujijua

Nina tatizo la kufikiri magonjwa tu
Yaani siku izi na fanya nikifikira
Kuwa na umwa ugonjwa fulani
Cha ajabu na Nina hanza kusikia dalili za ugonjwa ule gadiri ninavyo zidi kuwaza kuhusu ugonjwa uo na ndivyo nao unavyo zidi kupanda
Kabisa mpaka Kuna mda na jishangaa
Pili ata niwe bize vipi na vitu fulani
Lazima akili yangu ifikiri kuhusu kifo tu
Mpaka Kuna wakati na pinzana na mawazo yangu nikiwa njiani utakuta naongeya peke yangu
Mfano akili yangu ikiwazia kuwa Nina taka kufa Nina hanza kupinzana na mawazo aya kwa kukataa kabisa Tena na kataa kwa kuongeya kwa sauti kubwa kabisa
Mpaka wengi wanao nihona wa nafikiri nimepatwa na wazimu ndugu zangu hali hii ina epukika vipi?
Mkuu you are depressed. Jaribu kupitia kitabu cha "The Power of Now"
 
Usiuwaze ugonjwa unafanya kosa kubwa Sana

Njia unayoitumia kukataa kifo tumia njia hiyo hiyo pia kukataa ugonjwa wowote usikupate!
 
Nataka kuhuliza labda naweza kuwa mgonjwa Bila kujijua

Nina tatizo la kufikiri magonjwa tu
Yaani siku izi na fanya nikifikira
Kuwa na umwa ugonjwa fulani
Cha ajabu na Nina hanza kusikia dalili za ugonjwa ule gadiri ninavyo zidi kuwaza kuhusu ugonjwa uo na ndivyo nao unavyo zidi kupanda
Kabisa mpaka Kuna mda na jishangaa
Pili ata niwe bize vipi na vitu fulani
Lazima akili yangu ifikiri kuhusu kifo tu
Mpaka Kuna wakati na pinzana na mawazo yangu nikiwa njiani utakuta naongeya peke yangu
Mfano akili yangu ikiwazia kuwa Nina taka kufa Nina hanza kupinzana na mawazo aya kwa kukataa kabisa Tena na kataa kwa kuongeya kwa sauti kubwa kabisa
Mpaka wengi wanao nihona wa nafikiri nimepatwa na wazimu ndugu zangu hali hii ina epukika vipi?

Soma hicho kitabu mkuu kitakusaidia sana.
 
mkuu, fanya fanya mazoezi usiku na asubuhi..
jizoeshe kula matunda na mbogamboga..
Nunua baiskeli, weekend jmosi na jpili piga gia masafa marefu....

Jitahidi kupiga story na masela kijiweni..

Yachukulie maisha rahisi sana usiyacomplicate kivilee, fanya unachoweza na usichoweza acha, kubaliana tu na hali yako hao wenye maford ranger wachukulie easy tu.... kama una Screen kwako au uwezo wa kununua, nunua kuuuubwa na movie yakwanza kuangalia iwe ile Jokers....
 
Pole Sana Mkuu, usiruhusu Hali ya kukata tamaa ikutawale, hata Mungu hapendi hiyo, Fanya Mazoezi,Sali,soma vitabu mbalimbali vikiwemo vya dini, Zungumza na watu unaowaamini washirikishe Jambo lolote kubwa Lililonyuma ya hili, usifiche tatizo na kuliwaza peke yako, litakuua kweli. Wee endekeza tu kuwaza shida hiyo au ugonjwa.
 
Back
Top Bottom