wakuu naomba mnisadie kuhusu hili,hivi kujamiiana mwanamke mjamzito kuna madhara yoyote kwa huyo kiumbe aliyeko tumboni hata kama mimba bado ni changa?​