Mawazo yako muhimu ndugu yangu

knny

Member
Feb 6, 2019
44
6
Nimefikilia sana kuhusu suala la kusomea cousre mbalimbali lakini nimeona bado zinachangamoto za ajira hivyo nikaona bora nichague course za veta ili niweze kujiajiri mwenyewe au kuajiriwa hivyo naomba ushauri nisome course ipi kati ya hizi

Auto electrical
Electrical installation
Air condition
Electronics
Industrial electronics
Motor vehicle mechanics

Mawazo yako muhimu kiongozi
 
Electrical installation ina uwanda mpana wa kujiajiri pia kuajiriwa.
Soma Course za muda mrefu. Usisome short course
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom