Mawazo ya wachumi yanahitajika tafadhali

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,305
3,327
Jana nimesikia kupitia taarifa ya habari kwamba kuanzia leo kutakua na mauzo ya hati fungani(bond) kupitia ma bank.
Nijuavyo mimi mfumo huu utaendelea kupunguza mzunguko wa shilingi kwenye mzunguko kwani hati fungani ni miongoni mwa tools zitumikazo ku control inflation.
Swali:Kutokana na hali ya upatikanaji wa pesa ulivyo mgumu kwa sasa,haya mauzo ya hizi hati fungani hayawezi kua mwiba zaidi kuongeza ugumu wa maisha?
 
Back
Top Bottom