Mawazo wadau

Mawazo wadau

Tish

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
360
Reaction score
209
Kwa walio wai kufanya sdcard kuwa internal memory Kwenye android "M" marshmallow wameona matokeo yepi kulinganisha nakuitumia kama external
 
Ngoja waje waliofanya hicho kitu,mi kwangu naona hyo option lakini sijafanya bado
 
sikushauri kufanya hvyo baadhi ya app kma whatsapp znakua znachelewa sna hasa ktk kudownload media niliwai fnya hvyo nikarudisha in one week
 
Niliwahi kufanya nikashindwa, bora uitumie kama external tu
 
Back
Top Bottom