uzuri ni kwamba HAWEZI KUWA RAIS hata afurukute atoke ngozi hana lolote kelele tu nyingi mitandaoni na ni mchafu tunajua kilichompata mamvi kitampata na yeye... mark my wordsMakamba ameanza kama Lowasa kujipanga kwa kuingiza mafisadi yenye pesa nyingi