Maarifa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2006
- 4,568
- 2,911
Jamani, tunamtia Rais wetu ubaya, hebu hata kama ni wewe umechaguliwa kushika nafasi hii nyeti, unaweza kuwasahau wale waliokuwezesha kuwepo hapo ulipo? tena kwa pesa zao? Kama binadamu sote tuna upungufu hivyo tujipange upya. Hiki ni kipindi cha mpito, kwa wenzetu ulaya iliwachukuwa miaka mingi mpaka kufika hapo walipo, Mtakumbuka primitive acumulation of capital(PAC) ilivyowanufaisha wachache, tumpe muda.
Ahsante kwa historia ya wazungu. Lakini I am sorry hatuihitaji. kwa hiyo unataka kuiambia jumui ahii kuwa ufisadi unaondelea ni ok kwani ni PAC??? Hapana. ndiyo maana kuomba kwenda Ikulu unatakiwa uwe makini. sio kukurukupa kma ndugu yangu mwkere anavyofanya. JAMANI KILA SIKU WANAIBA HALAFU WANAJIUZULU MWISHO WA HADITHI. Fanya hesabu za haraka haraka tena mwaka huu ni wangapi wamejiuzulu kisa ni kuhusina na UFISADI KUANZIA WAZIRI Mkuu wa nchi hadi gavana wa pesa. Jamani there is nothing going on. Takururu Dr (kihiyo) ameropoka kuwa uchunguzi utafanyika na kutolewa taarifa mwaka huu tena issue 10. Guess what itakuwa ni kesi za wajumbe wa nyumab kumi na wenyeviti wa mitaa, matarishi.
Tukubali Kikwete ni dahaifu, Au ni MUOGA, AU NI KILAZA, MANENO MENGI, MIJIFA KIBAO.
Kama ningekuwa Kikwete basi Kuanzia Mkapa na team yake ya wafisadi sasa hivi wangekuwa KEKO AMA SEGEREA UCHUNGUZI UFANYIKE WAKIWA HUKO. Our presisdent is so scared. African Unity isiwe kisingizio. Pangua wote. hao makachero wa usalama wa Taifa wakiongozwa na Pinda kazi yao nini?