Mawaziri wengine kwenda na maji

Jamani, tunamtia Rais wetu ubaya, hebu hata kama ni wewe umechaguliwa kushika nafasi hii nyeti, unaweza kuwasahau wale waliokuwezesha kuwepo hapo ulipo? tena kwa pesa zao? Kama binadamu sote tuna upungufu hivyo tujipange upya. Hiki ni kipindi cha mpito, kwa wenzetu ulaya iliwachukuwa miaka mingi mpaka kufika hapo walipo, Mtakumbuka primitive acumulation of capital(PAC) ilivyowanufaisha wachache, tumpe muda.

Ahsante kwa historia ya wazungu. Lakini I am sorry hatuihitaji. kwa hiyo unataka kuiambia jumui ahii kuwa ufisadi unaondelea ni ok kwani ni PAC??? Hapana. ndiyo maana kuomba kwenda Ikulu unatakiwa uwe makini. sio kukurukupa kma ndugu yangu mwkere anavyofanya. JAMANI KILA SIKU WANAIBA HALAFU WANAJIUZULU MWISHO WA HADITHI. Fanya hesabu za haraka haraka tena mwaka huu ni wangapi wamejiuzulu kisa ni kuhusina na UFISADI KUANZIA WAZIRI Mkuu wa nchi hadi gavana wa pesa. Jamani there is nothing going on. Takururu Dr (kihiyo) ameropoka kuwa uchunguzi utafanyika na kutolewa taarifa mwaka huu tena issue 10. Guess what itakuwa ni kesi za wajumbe wa nyumab kumi na wenyeviti wa mitaa, matarishi.
Tukubali Kikwete ni dahaifu, Au ni MUOGA, AU NI KILAZA, MANENO MENGI, MIJIFA KIBAO.

Kama ningekuwa Kikwete basi Kuanzia Mkapa na team yake ya wafisadi sasa hivi wangekuwa KEKO AMA SEGEREA UCHUNGUZI UFANYIKE WAKIWA HUKO. Our presisdent is so scared. African Unity isiwe kisingizio. Pangua wote. hao makachero wa usalama wa Taifa wakiongozwa na Pinda kazi yao nini?
 
isaya mwita....
kwa hiyo sisi tuendelee kuchapika na maisha magumu ili yeye alipe madeni?
ndo maana wamarekani wanachagua rais tajiri kwa sababu hawataki ujinga kama huo.
kama hela tu za kampeni zilimshinda we unahisi urais atauweza?
 
mawaziri watakwendana maji au ndo watapat nafasi (aka. watajiuzulu) ya kutumia "vijisenti" vyao bila ya kuwa kwenye darubini kali ya wananchi?
 
NI kuwa kuwa alikuwa hajui kuhusu Chenge, au ni changa la macho? I find it hard to believe kwa mtu ambaye ana state apparatus mkononi mwake asijue kitu kinachohusu maslahi ya taifa, na mbunge wa karatu kutoka upinzani ajue? Really??

Bongolander, inawezekana kabisa kuwa hivyo. Inategemea Mwuungana anamsikiliza nani zaidi na anapenda kuamini nini zaidi.
 
jamani kuna tetesi yoyote?? nani anarithi mikoba ya vijisent?? naona tumeenda mbali sana samahani lakini
 
Tatizo la Kikwete ni mwendo wake ktk maswala haya hana kasi hata kidogo zaidi ya kuwa kinyonga anayebadilika rangi kila aendapo. Yaani kachukua miaka miwili kuelewa ubovu wa mawaziri wake na sasa mwaka wa Tatu unayoyoma, Tanzania hatuna mazungumzo ya maendeleo ya nchi wala hatuoni kipya zaidi ya Mafisadi kuchukua muda wote wa Uongozi wake ktk awamu hii ya kwanza.
Miaka mitano sii kitu hata siku moja na sijui alikuwa anafikiri kitu gani kusubiri maswala haya hadi yamefikia mahala kama hapa tena wakati mdogo sana umebakia..
Kwa miaka mitano hivi kweli tunaweza orodhesha mambo muhimu JK aloweza kuyafanya Kiuchumi ama kisiasa maanake inatisha kuwa anaondoka miaka mitano bila kuacha mfano bora kwa wananchi zaidi ya HURUMA na majonzi..
JK anasikitisha sana I mean sikutegemea hata kidogo kwa kiongozi kama yeye MWANAJESHI kuwa mvivu kufikiri kiasi hicho!..
 
mkandara...
umenikumbusha kitu cha msingi kumbe jamaa kabla ya hapa alikuwa ni mjeshi?...duh
mbona wanajeshi wenzie walioshika nyadhifa kama hiyo duniani hawataniwi na wala sio wazembe kama yeye?
jamani huyu kweli alipitia munduli?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom