kilichonichosha zaidi ni kumpa Kigoda wizara ya viwanda huyu bwana tangu enzi za mkapa ni madudu ma2pu bwana Mwandosya ashajizeekea mpk basi lkn bado anamweka2 eti 'waziri asie na wizara maalum' huyo Selina Kombani ndo kamtwisha U2mishi atauweza?? Sina imani na washauri wake km sio washauri bac mkubwa ujuaji umemzidi aaaaaaagh....!
Wakuu jamaa ndo kamaliza kazi ya kitaifa.Tuangalie watakao mwangusha katika utawala wake wa kumalizia.Nionavyo mm hawa hamna kitu.J. Makamba, A. Malima, Prof. Maghembe,Kawamba, ...Wasira, Mwinyi, Twendelee
Title umekosea, hakuna wa kumwangusha bali jamaa mimi nimebaki namcheka tu hahahahahhahahah maana capacity yake ni ndogo kuwa president alidhani kuna kucheka cheka kumbe lazima uweze ku deliver, umemuona alivyokuwa amekausha koo ? hana hamu ingekuwa ni bar angeishia bila kuaga na bado lazima tummalize hivi hivi anajuta kwa nini alililia urais. ngemwachia Dr. wa ukweli sasa hivi angekuwa anatabasamu na wananchi, sasa hivi JIk anasema tunamwonea watanzania wote eti tumwonee mtu mmoja. hahahahahhahahhahhhahah. So Kajiangusha mwenyewe
achemshe mara ngapi?tangu anaingia Jk aliishachemsha tayari.kama ni mgonjwa yupo ICU tusubirie tuone kama atapona au laa
Cha kusubiri ni report ya CAG ya mwakani basi ,maana ofisi nyingi za serikali huwezi kupima utendaji , urasimu ndo umejaa na very poor customer service, wanahitaji training kwa kweli2wape muda new mawazil 2one nn they hv 2 offer watanzania
Kweli hapo Jk kachemsha na yeyd anaiuwa ccm kwa mikono yake mwenyewe. Mbona kuna wabunge wengi sana bungeni?
waacheni wafanye kazi nyie mmefanya nn kusaidia taifa?,, mnaoongeea sana.
Kisingizio cha 'JK anaangushwa' is sooo stupid and old..kwanini msiwe bold kusema the mkulu is simply and plainly incompetent??
Igwe like this...
Baraza la leo JK alikuwa anatangaza msiba wa CCM kabisa, na wafuatao ni janga kwa taifa lakini bado wameendelea kuchomoza kwenye baraza hili la huyu raisi wenu;
- Hawa Ghasia,nashindwa kuelewa huyu ana-merits gani kwa JK na serikali yake..naanza kuwa na shaka.
- George Mkuchika,huyu jamaa kaacha madudu kule tamisemi sasa kapelekwa kwenda kutengeneza madudu mengine wizara nyingine.
- Anna Tibaijuka,huyu mama ni muoga na wamempa wizara nyeti sana kwasasa yenye changamoto nyingi mno hasa za ugawaji wa ardhi kama njugu kwa wawekezaji tazama muziki wa Arumeru Mashariki nk
george mkuchika, mambo ya kipele kupata mkunaji. Ile wizara na kazi zile ndo anazozijua. Kwingine ilikuwa longolongo tu.
Wakuu jamaa ndo kamaliza kazi ya kitaifa.Tuangalie watakao mwangusha katika utawala wake wa kumalizia.Nionavyo mm hawa hamna kitu.J. Makamba, A. Malima, Prof. Maghembe,Kawamba, ...Wasira, Mwinyi, Twendelee