Mawaziri wa fedha awamu ya 4 washtakiwe!

Mawaziri wa fedha awamu ya 4 washtakiwe!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Kwa madudu haya TRA hawa viongozi hawa viongozi hawakwepi hii kesi. Wakati haya yanafanyika walikua wapi?
 
Mwigulu na saada mkuya, nadhani marehemu mgimwa hii
orodha aliiona , sasa ile alivyotaka kuifanyia kazi tu (kuitumbua)....
ndo hapo kasheshe lilipo anzia.
 
Hv mh prezidaa ana uwezo wa kuamuru mikataba inayotunyonya ipitiwe na kuleta unafuu angalau kidogo???hv macapacity charge ya mamilioni kama sio mabilioni tunayolipa kwa siku hawezi kuyafutilia mbali...???Naombeni mnijuze wakuu
 
Aisee,nchi hii imeoza.Kwa hali hii, kazi bado pevu na speed ni ndogo sana.We are time barred.Lazima tukimbie.

JPM tuko nyuma yako.Aluta continua.
Kwa madudu haya TRA hawa viongozi hawa viongozi hawakwepi hii kesi. Wakati haya yanafanyika walikua wapi?
 
Uwezo wa JPM ni kusumbua hawa dagaa tu uwezo wa kushika big fish hana kabisa..

mtego wa swala, tembo anaondoka nao.

inaonekana nguvu ya soda tu, reverse yeyote lazima imkute jk.
 
Mwigulu na saada mkuya, nadhani marehemu mgimwa hii
orodha aliiona , sasa ile alivyotaka kuifanyia kazi tu (kuitumbua)....
ndo hapo kasheshe lilipo anzia.
Umetukumbusha kweli, ila marehemu mgimwa walimuua kwa sababu ya hela za escrow, kwa mujibu wa habari za kioindi kile. Yeye alitaka kuzuia hela zisitoke. Kama ndiyo hivyo Saada Mkuya, Mwigulu lazima waonje jela
 
magu hana ubavu wa kumgusa kada yoyote wa ccm hata lowest valued kada le mutuz hawezi kumgusa.

Mkuu hawa watu wana guswa indirect ati. Wajua hata unapokuwa na rafiki yako mlevi na ukataka kumshughulikia, Usimfunge yeye ...Nenda kafunge zile bar za pombe anazo nywea. Hilo ndio nashauri Magufuli aendelee nao ili kuwa maliza kisiasa zaidi.
 
Umetukumbusha kweli, ila marehemu mgimwa walimuua kwa sababu ya hela za escrow, kwa mujibu wa habari za kioindi kile. Yeye alitaka kuzuia hela zisitoke. Kama ndiyo hivyo Saada Mkuya, Mwigulu lazima waonje jela

Utasubir sana, hao ni mawazir watarijiwa
 
Back
Top Bottom