Mawaziri vivuli

Mawaziri vivuli

mpeku

New Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
4
Reaction score
0
HABARI Wana JF:embarrassed:
Mie ningependa kuuliza kuhusu mawaziri vivuli mbona sielewi wanamaanisha nini?
manake nimesoma gazeti la mwananchi nimeona Mh. MBOWE alikuwa akiwatangaza hao mawaziri wakati yupo bungeni.
sasa ni nini hiyo....?:thinking:
 
Back
Top Bottom