Sema Kweli
Member
- Apr 12, 2013
- 53
- 20
Habari wana jamvi leo napenda tushikiane kujiuliza
Nini kilicho jificha ndani ya sisa za Arusha?ukiangalia jinsi vyama vyote katika chaguzi hizi ndogo utakubaliana na mimi kuwa Arusha ndo imepewa kipaumbele kuliko kwingine kote.
Na utakubaliana na mimi pia Arusha pia ndo imetembelewa na viongozi wakubwa wa vyama kuliko kote kwingine.
Viongozi walio fika Arusha na vyama vyao na vyeo vyao.
Stevin wasira-Waziri uratibu CCM.
Chiristopha Olesendeka Mjumbe wa NEC CCM.
Mwigulu Mchemba Naibu katibu Mkuu CCM taifa.
Gudluck Medeye Naibu waziri nyumba-CCM.
Nape Nauye katibu muenezi CCM.
Agrey Mwanry Naibu waziri tamisemi-CCM.
Ibrahim Lipumba Mwenyekiti taifa- CUF.
Maalim Seif Makamu wa rais Zanzibar-CUF
Julius Mtatiro Naibu katibu Mkuu bara -CUF
Godbles Jonathan Lema Mbunge Chadema.
Joshua Nasary Mbunge Chadema.
Majina haya yote ni makubwa ila ukiangalia haya mawili ya chini ndio sababu ya nguvu kubwa inayo tumika na vyama hivi vya ccm na cuf,hakuna ubishi hapa kuwa lema amekuwa ni guzo ndani ya Tanzania na Nje ya Tanzania macho na masikio ya watu wengi ni kutaka kusikia kitakacho tokea Arusha.
Nimebahatika kwa kuwa niko Arusha kuhudhuria mikutano ya vyama hivi kiukweli lema na wana chadema bado wanaendelea kuwapa wanasiasa hawa wenye majina makubwa shida na kushindwa kujua wamewakosea nini wana wa Arusha,najua wapo ambao hawata nielewa ila matokeo ya uchaguzi huu yatatoa picha kwa kuangalia nguvu ya majina ya wanasiasa hawa ila hakuna ubishi kumshinda lema bado haiwezekani hapa Arusha.:heh: