Mawaziri na Wabunge mizigo CHADEMA hadharani

Dhana ya, " Dhana ya Government Budget Analysis" inatolewa bure na Shirika la REPOA. Mtoa mada angekuwa ana uelewa wa jinsi mradi ktk sehemu fulani unavyoanza > kujengewa hoja > hadi kufikia kutekelezwa ktk eneo fulani angegundua kwa ujumla wa mada aliyoianzisha ni ubumbumbu kwa yeye na kwa wengine wanao dhani kuimbia uwepo wa mradi wa maji, Elimu, barabara, afya, nk wakati wawapo bungeni ni usanii, usanii ulikidhiri kama sio ubumbu na kutowajibika kwa Mbunge husika. Na nikili hili ndio umzigo wa nchi hii uliotufikisha kwenye umaskini nchi yetu hii inapitia. Dhana ya uanzishwaji wa miradi uanzia vijijini na mitaani kupitia mfumo wa O&OD. Ngazi za wilaya na Wizara uinisha vyanzo vya mapato na kuvipangia matumizi. Kama Mbunge yu makini hutakiwa kwenye vikao vya kupanga ngazi za madiwani ambapo wabunge ni wajumbe, kushupalia uwepo wanalolitaka ktk bajeti. Kama halipo ktk bajeti ngazi ya wilaya hata agonge kichwa chini mara milioni huwa ni Nazi bure na ndicho huwa ninakiona mara nyingi wabunge kadhaa wanawahadaa wapiga kura zao kwa mikogo mingi ili wapiga kura hao wawaamini kuwa huwa wanawatetea. Utamsikia Mbunge X anapoteza muda wa bunge kusema mahali fulani jimboni kwangu maji shida, barabara haipitiki, tunataka Umeme, nk. Unajiuliza kama kule jimboni kwake wakati wa kuandaa bajeti na kuisimamia ili ipite alikuwa yuko? Pale bungeni huwa nikuweka uwiano wa bajeti kwa ujumla na hapo ndipo Uwezo wa Mbunge unaweza kuupima. Nafasi ya Wizara huwa no kuwasilisha kilichopitia mchakato kwa nchi nzima hadi kufikia bajeti kufikiwa. Kamati huweka mizania na wapinzani kuwasilisha agenda za mjadala. Kambi ya upinzani mtu kuiponda kwa uwasilishaji wake ni kwa akili ya mupondaji wake. Mpondaji ana aonavyo kuwa kungekuwa vile yeye angekuwa ameamini iko vizuri. Jiulize kama muono wa mpondaji una umbumbu wa kujua upondaji wake una nafasi gani. Mwisho nisijue kama mpondaji anajua juu ya collective management? Yaani hata kama unajua mengi unazungumzia au kushughulia machache na mengine unamwachia mwingine kwa kukubalia na mwishoni mnapomalizia unakuta yote mumeyazungumzia. Katika uwakilishaji wa kambi ya upinzani iangalie kwa ujumla wao na mwishoni toa issues na ulinganishe na za ccm na ulete tathmini yako tuichangie
 
Wabongo wanafiki kama nyie ndyo mnarudisha maendeleo nyuma. Et wamalizia kwa kusema "Naomba michango yenye tija kuboresha siasa za upinzani hapa TAnzania."

Nimejaribu kusoma post zako zote za nyuma upo against upinzani leo unajifanya et unataka kuboresha upinzani.

Hivi nyie vijana wa lumumba mnaona kila m2 ni mbulula?
 
Mtoa hoja yaani kula gwalaa mwana, umechambua hoja mulemule, najua wazee waUfipa street kinondoni lazima wakushambulie na hela zao za yule waliyemsafisha na kumpa ugombea urais, baada ya kuchinjwaaa na kuwa kapiii,!
 
Vipi yule aliyetetea bangi ihalalishwe? Mwingine amesema tuondoe sanam ya askar wetu tuweke wakata viuno majukwaan diamond na mwisho juz tumesikia mwingine et wananchi wake wanaogopa kuoa wanawake wazur kisa watanyang'anywa Te Te Te Te Te Te bora kuuza vitumbua kuliko kufikiria kwa kutumia tumbo badala ya kichwa.
 
Ni vyema kama ungemchambua rais wako aliye madarakani kuliko hao ambao hawaongozi serekali.. Hao uliowachambua wote ni akili kubwa kulingana na wale vituko wa upande wa pili.. Mmoja anataka kulia bunge lisiwe live.. Mwingine sanamu la diamond liwekwe posta..
 
Kazi ya kutoa hoja mbadala ni ya wabunge na sio REPOA.Jikite kwenye hoja.
 
Akili kubwa zisizoweza kutoa wagombea?...leo hii akili ndogo Lowasa na Sumaye wanaabudiwa na nyie wote?
 
Dogo upinzani usipokosolewa utadumaa.Ona tulivyomsifia Mbowe mwishowe anatuletea fisadi.
 

Kwa hiyo lugumi sio hoja? Yule aliyesema wanawake wazur hawaolewi Umeona ndo hoja. Acha kujitoa ufahamu
 
We umeibua hoja gani hapo inayojenga taifa? Maana nawe umewajadili watu na co masuala.
 
Kijana kwasasa hoja ni hii iliyopo ntaleta siku nyingine hoja ya hao wengine.Jikite sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…