Mawaziri na Wabunge mizigo CHADEMA hadharani

Mawaziri na Wabunge mizigo CHADEMA hadharani

Tujadili kwanza ulevi wa mawaziri,tuachane na hawa vimvuli wasiokua na madhara.
 
Viroba ni hatari sn, Mi nilidhani watu wanalewa bungeni tu kumbe hata hapa JF
 
Mtoa hoja yaani kula gwalaa mwana, umechambua hoja mulemule, najua wazee waUfipa street kinondoni lazima wakushambulie na hela zao za yule waliyemsafisha na kumpa ugombea urais, baada ya kuchinjwaaa na kuwa kapiii,!
Haya mambo yakipuuzwa...ni sawa na kuruhusu KUB kula ruzuku bila tija.Hizo ni kodi zetu.
 
Kwanza nianze kwa kuquote moja ya kitabu takatifu maarufu kama biblia..."Either how canst thou say to thy brother, Brother, let me pull out the mote that is in thine eye, when thou thyself beholdest not the beam that is in thine own eye? Thou hypocrite, cast out first the beam out of thine own eye, and then shalt thou see clearly to pull out the mote that is in thy brother's ”
Ulichokiandika hapa ni unafiki mtupu ungelikua una nia njema na upinzani ungeanza kuwashauri mawaziri mizigo wa chama tawala.Ndipo urudi na kuwashauri mawaziri hawa vivuli ambao mara nyingi hoja zao japo kua zinamashiko zimekua zikipuuzwa bungeni na kama haitoshi hoja za hao mawaziri vivuli ulo waita mzigo zimekua zikifanyiwa moderation.
Ni vizuri ukiacha unazi na chuki.
 
Back
Top Bottom