Mawaziri mizigo waliosalia kwenye serikali ya jk...

Mawaziri mizigo waliosalia kwenye serikali ya jk...

Mkubwa ukweli nakupongezi ila mie tofauti kidogo yaani kuanzia kikwete mwenyewe ni mzigo mzito wa gunia mchanga, yaani siku tukimfukuza kazi kama wajiri wake, kila shwari kwa nchi hii, maana yeye ndio kawateua hivyo vimizigo uko hapo?
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,-MZIGO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika, Mb.,- SIJUI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)

Ndugu Celina Kombani, Mb.,MZIGO SANA


OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H. Suluhu, Mb.,- HUYU NDO SIMJUI KABISA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,-SIMJUI



OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,-MZIGO THEN ANAKULA SANA RUSHWA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,-MZIGO..RUSHWA KWENYE HALMASHAURI ZOTE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)

Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,-MZIGO KABISA SIJUI NANI ANAMDANGANYA KWAMBA NI MCHAPAKAZI

​
WIZARA

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki- Ndugu Samuel J. Sitta, Mb.,JAPOKUA SIJAONA ALICHOKIFANYA PIA SIJAONA ALIPOHARIBU

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa- Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,RIP

Waziri wa Ujenzi- Dr. John P. Magufuli, Mb.,- ANAPIGA KAZI

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii- Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,URAFIKI WA JK NA BABAKE NDO ULOMFANYA AWEKWE HAPO-MZIGO

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi-Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,ASILIMIA 70 YA WANAFUNZI WA STD 7 HAWAJUI KUSOMA KINGEREZA CHA STD2 HUYU MZIGO MZITO KWENYE HILI TAIFA

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto-Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,ALITUAMBIA ANAJUANA NA BWANA MKUBWA ILA HAJATUAMBIA NI KIVIPI...MZIGO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa-Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,ANAWAZA SANA URAIS ANASAHAU KAZI YAKE-MZIGO

Waziri wa Katiba na Sheria-Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,-SIMJUI KIVIILE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi-Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,RIP

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi-Dr. David M. David, Mb.,RIP

Waziri wa Kazi na Ajira-Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,SIONI KAZI ANAYOFANYA

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia-Prof. Makame M. Mbarawa, Mb.,SIJAWAHI KUMSIKIA...HIVI JANUARI SI NDO YUPO KWENYE HII WIZARA?

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi-Prof. Anna K. Tibaijuka, Mb.,-ANAJITAHIDI TAHIDI -HONGERA

Waziri wa Maji-Prof. Jumanne Maghembe, Mb.,ANAJITAHIDI TAHIDI

Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum-Prof. Mark Mwandosya, Mb., HUYU NDO RUMBESA ANAKULA KODI ZETU BURE

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika-Eng. Christopher Chiza, Mb.,-ANAJITAHIDI

Waziri wa Uchukuzi-Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,-ANAJITAHIDI ILA ANA MIKAKATI MINGI KULIKO UWEZO WAKE

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo-Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,-HUYU PIA SIJUI ANAFANYA KAZI GANI

Waziri wa Maliasili na Utalii-Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,RIP

Waziri wa Viwanda na Biashara-Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,KUBEBANA

Waziri wa Fedha-Dr. William Mgimwa, Mb.,MZIGO MZITO

Waziri wa Nishati na Madini-Prof. Sospeter Muhongo, Mb.YAANI HUYU NDO NUKSI KABISA
Nimemuona Maza Kizimkazi kwa orodha
 
Back
Top Bottom