Mawaziri mizigo kutimliwa

Maseto

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
944
545
KAMATI KUU YA CCM YAMSHAURI RAIS KIKWETE KUWAFUKUZA,KUWAHAMISHA WIZARA AU KUWASUKUMA WAFANYE KAZI MAWAZIRI MIZIGO,kauri ya NAPE.

SOURCE; MWANANCHI BREAKING NEWS
 
Lini wakawajibishana hao? Zaidi wakibidirisha mawaziri bado lengo lao moja tu! deal, na mbaya zaidi ni komba komba ya mh. kwa dakika za mwisho, hivyo watakao kuwa karibu wawe tayari ama kumfichia siri au kukabidhiwa madaraka baadae ili akstaafu wamlinde....ccm zenu tulisha jua.
 
Mimi sijawahi ona duniani chama kikakaa kikao kwa utendaji mbovu wa mawaziri wa chama hicho na kutoa mawazo ya kijinga kama hayo "Wahamishwe Wizara". Jibu ni simple get rid of this Chama Chakavu.
 
Back
Top Bottom