Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,706
- 149,939
Kama kweli tumeamua kubana matumuzi,basi viongozi hawa waandamizi serikalini waagizwe kuacha kutumia magari ya anasa na yenye gharama kubwa maarufu kama "mashangingi" na badala yake watumie RAV4 au Cruiser Mkonge.
Ni suala la kutoa waraka tu kama huu waraka wa kusitisha ajira na ule wa kuzuia safari za nje ya nchi bila kibali.
Mashangingi yatumike kwa safari maalumu kama za vijijini lakini sio kuzunguka nayo mijini kwenye barabara nzuri.