Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,969
Wenye kujua yaliyofichika. Naomba kujua ikiwa
Bashungwa
Ndalichako
Wataendelea kusalia kwenye nafasi zao? Vipi Mchengerwa?
Najua January hagusiki.
Kafulila alikua na ajira gani?Yeah. Ni matusi. Ndio maana nasema ivi Kafulila na Kitila ni wapumbaf!
Magufuli alihakikisha amewapa ajira za kudumu serikalini, wakazikacha na kukimbilia kwenye teuzi.
Leo hii, wako juu ya mawe!
Swali lako zuri sana. Sijui kama huwa wanapewa kiinua mgongo kwani kama ni hivyo, basi wale wanaotenguliwa na kisha kuteuliwa tena watakuwa wanakomba sana kwa kila uteuzi utakuwa unakuja na kiinua mgongo chake. Nadhani huenda kuna utaratibu tofauti ili kuzuia gharama zisizokuwa lazima kama hizo
Mbaya zaidi kuna gharama zinatumika pia hata kama zipo ndani ya bajeti lakini bado hizo fedha zingefanya shughuli nyingineWanakuwaje kama sisi wengine ikiwa waziri ni lazime awe mbunge?
Suala la watu kutenguliwa naona wengi hufurahi na kuona kama aliyetenguliwa anaenda kuwa maskini. Mtu kama makamba kwa utajiri alionao hata ukimtengua ataweza vipi kufanana na sisi wengine?
Alipewa ajira mkoa wa Songwe... GoogleKafulila alikua na ajira gani?
Alipewa ajira mkoa wa Songwe... Google
Ajira gani mkuu?Alipewa ajira mkoa wa Songwe... Google
Katibu tawala wa mkoa (RAS)Ajira gani mkuu?
Hio ajira ilikua mzuka sana aisee...Katibu tawala wa mkoa (RAS)
Kwa Kitila Mkumbo ni wa huko au yule Mkuu wa Mkoa sijui anaitwa Queen ni wa huko.Uh - Oh. Sikujua wewe upo huko!
Ikitokea lengo kuu ni kuweka mawari wahuni, wapigaji, wafanya biashara ili kuendeleza falsafa ya mama kuweka wafanya biashara kuongoza nchi kwa fada yao binafsiHii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .
Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .
Usiondoke JF .
Nitaendelea kumkubari rais ikiwa ataniondolea huyu waziri anayeitwa mwiguru