Hakuna waziri mpya atakaye ingia hapo,yaani mawaziri enzi za Kikwete ndio watarudi.Mama ikiwezekana avunje tu baraza lote la mawaziri na atangaze tu hizo nafasi za kazi watanzania wengine wajitolee wasio wabunge tuwe masela tu kutoka huku mtaani, ila Wizara ya Fedha na Nishati mimi ndio niwe Waziri.
Nimeota Luhaga Mpina kateuliwa uwaziriHakuna waziri mpya atakaye ingia hapo,yaani mawaziri enzi za Kikwete ndio watarudi.
Sema nafasi zao kujazwa na wahuni wengine wa mama ...acha kufananisha wazalendo na mafiii ya ccm ..uzalendo ni kitu cha damuniHii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .
Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .
Usiondoke JF .
JPM alikuwa ana panga pangua na panga pangua yake ilikuwa inaleta tija ...tija huyu mjambiani mpumbavu ana panga pangua na kuzidi kusababisha maafa.Panga pangua ndiyo mwendo wetu, haya lete maneno huko.
Sasa hivi hakuna kutumbuliwa bali wana badilishana tu zamu ya bulamba asali kwa zamuSiku hii hawatumbiliwi papo kwa papo hadharani kwa kuambiwa makosa yao, bali ni mwendo wa kuteua na kutengua tu. Katika mwaka mmoja serikali hii imeteua na kutengua kuliko serikali zote zilizowahi kutokea nchi hii.
Makamba, Nape, Riziwani na Mwigulu wao ni permanent, hawana zamu.Sasa hivi hakuna kutumbuliwa bali wana badilishana tu zamu ya bulamba asali kwa zamu
Wanakuwaje kama sisi wengine ikiwa waziri ni lazime awe mbunge?
Suala la watu kutenguliwa naona wengi hufurahi na kuona kama aliyetenguliwa anaenda kuwa maskini. Mtu kama makamba kwa utajiri alionao hata ukimtengua ataweza vipi kufanana na sisi wengine?
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .
Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .
Usiondoke JF .
Pangueni wote ila Waziri wa Fedha na Waziri wa Nishati wabakishwe huko huko..Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .
Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya nafasi zao kujazwa na Wazalendo wengine .
Usiondoke JF .
Swali lako zuri sana. Sijui kama huwa wanapewa kiinua mgongo kwani kama ni hivyo, basi wale wanaotenguliwa na kisha kuteuliwa tena watakuwa wanakomba sana kwa kila uteuzi utakuwa unakuja na kiinua mgongo chake. Nadhani huenda kuna utaratibu tofauti ili kuzuia gharama zisizokuwa lazima kama hizoMi naomba kuuliza je hao wanaotenguliwa huwa wanapewa kiinua mgongo au malipo yoyote au huwa wana nusu mshahara kama wastafu au ikoje?
Isije ikawa tunapoteza mamilioni ya pesa kuhudumia mizigo
Waziri wa madini ๐ค kwanza hajawahi kutuambia lile jiwe letu liliopatikana huko ughaibuni likiwa ktk maonyesho na likaonekana kuwa na thamani kubwa lilifikaje huko na je taifa kama taifa tuli-gain kiasi gani....๐๐ค๐คPangueni wote ila Waziri wa Fedha na Waziri wa Nishati wabakishwe huko huko..
Ondoa Waziri wa Ardhi,Viwanda na Biashara, Waziri wa Mazingira,Ondoa yule Madini abadilishiwe kituo nk
Hakunaga kiinua mgpgo kwenye hizi nafasi za kuteuliwa, mshahara ndiyo kiinuwa mgongo chao..Mi naomba kuuliza je hao wanaotenguliwa huwa wanapewa kiinua mgongo au malipo yoyote au huwa wana nusu mshahara kama wastafu au ikoje?
Isije ikawa tunapoteza mamilioni ya pesa kuhudumia mizigo
Waziri wa madini ๐ค kwanza hajawahi kutuambia lile jiwe letu liliopatikana huko ughaibuni likiwa ktk maonyesho na likaonekana kuwa na thamani kubwa lilifikaje huko na je taifa kama taifa tuli-gain kiasi gani....๐Pangueni wote ila Waziri wa Fedha na Waziri wa Nishati wabakishwe huko huko..
Ondoa Waziri wa Ardhi,Viwanda na Biashara, Waziri wa Mazingira,Ondoa yule Madini abadilishiwe kituo nk
Roho baya + Uchawi + CCM = Umasikini.Ningeomba tuanzishe hoja ndani ya hoja.
Ni kwanini watanganyika mnafurahia utenguzi? Mnadhani benefits wanazopata, wakitenguliwa sitakuja kwako? Kwanini hii roho ya kichawi ndani kwetu?