Mawaziri kufanyiwa semina Ikulu, Dar kesho - Februari 25

Hivi mnadhani JK mjinga kwenda Ikulu mara ya pili?
Kiufupi serikali ya zamani inarudi na mchanganyiko wa Awamu ya Tatu na Nne na Tano
Sio kwa magufuri. Jk hawezi kumshawish aweke watu wake. Sema nadhani Jk anaogopa kwamba hii tumbuatumbua ipo siku itamgusa na kumchafua yeye. Ana hofu so usikute anaenda kumuomba asitumbue eneo flan ikiwamo na ya mwanae mwenyewe anaogopa kumvaa magufuri. Na magufuri kasema ndo anaanza vita na madawa sasa. Wabebaji wakubwa ni wasanii wa bongo fleva na wanapita uwanjandege na mabegi bila kukaguliwa kwa amri toka juu. Ndio serikali iliyopita ilivokua.
 
Bora .. Kuna ma'rookies' wamekuwa wakifanya vituko vya ajabu mno, pamoja na vingine vinavyodhalilisha utu wa mtu. Wengine hata uvaaji wao tu unaacha maswali (.. mfano yule anayevaa magwanda ya game rangers na scarf hata kama joto ni nyuzijoto 41 centigrade)
 
Huyu jamaa kweli ni wa kukurupuka kama yule wa futuhi, si aliwaambia watajielekeza huko huko na majitu yakashangilia? kweli mazuzu ni mengi na hili pia yanashangilia, hata magufuli anashangaa huu unafiki wa watu aisee.
 
Hivi Simbachawene anayetutesa na bei ya mafuta baada ya ile dili yake ya bilioni 42 atakuwepo kwenye Seminar? Mwakyembe je? Muhongo aliyevujisha ishu ya flow meter naye ataalikwa? Namuonea huruma raisi wangu JPM, kazungukwa na majizi ambayo yatakuwa yanamlia timing tu
Uko Sahihi. Baraza limejaa watu wasiofaa kuwa mawaziri. Ila unakumbuka wakati wa kampeni ccm ilikua na kundi Lao flan La kupanga mikakati lile kundi ambalo kuna siku messages za WhatsApp group yao zilivuja zikasambaa mtandaoni unakumbuka? Lile kundi unakumbuka lilikua linaundwa na watu gani? Mimi naowakumbuka ni Angela kairuki. Mwigulu nchemba. January makamba. Ummy mwalimu. Kigwangala.. hawa ndio naowakumbuka angalau waliokuwa kwenye kundi lile. Naowakumbuka mimi wote walipewa uwazili. Halafu magufuri alituambia eti anaunda baraza La wachapa kazi. Wakati kalipa fadhira kwa kundi lile. Hebu naomba nitajie niliowasahau waliokuwa kwenye kundi lile tuone ni yupi hakupewa Uwaziri. Jamaa kajaza mawaziri ambao ni incompetent wengi tu. Pata picha nape ni waziri.
 
wewe ulitaka amteue nani hata uridhike???? wabongo bana ni shidaaa!!!
 
Nyie ndio mlitaka kupewa nchi wakati mna onea aibu wezi?

Kaka siku zote una tabia ya kukurupuka. Kuna baadhi ya watu mnajifanya ndio wana CCM haswa. Mtu akiandika tofauti na mawazo yako, basi unampeleka akili yako inakotaka. Atakayefikiria kama wewe huyo ni mwana CCM!!!

Hivi uliwahi jiuliza ni kwanini nguruwe anapigwa shoka kabla ya kuchinjwa? Kwanini asichinjwe moja kwa moja?

Sio kila unachoamini wewe ndicho sahihi... Jirekebishe
 
Huyo ndio yule alimtumbua mkuu wa chuo cha utumishi wa umma bila ganzi? Hahaha nilicheka lakini pia nilihuzunika mzee katumbuliwa jipu live hapohapo huku akiwa amekaa meza kuu kama mkuu wa chuo. Ili mradi tu social media ipate taarifa haraka. Kwanini asimfukuze kwa barua kimyakimya?
Akitumia barua anajua magazeti hayatapata headlines. Yani serikali imejaa watu wa misifa tuuu.
Jamaa walizungusha mikono hadi leo bado akili zinazunguka tuuuu hadi wamechanganyikiwa
UMELOGWA TWAHILI, SIO BURE. KAMA HUWEZI KUSOMA HATA KUTAZAMA PICHA HUWEZI????
 
Wakapewe nondo zaidi
Ili ufanisi uwe mziri
Acha kujibaraguza!!aisee,,ati wapewe nondo!!kwanini wasipewe nondo ile mwanzoni walipoanza kazi???mlizd sana,,naona mmekubali kuwa mawaziri wanafanya kazi kwa mizuka japo mnajaribu kulielezea tofauti,,thus the truth and the whole truth ,and nothing bt the truth!!ati ''seminar elekezi hazitakiwi,,hizi sio enzi za jk'''looh sasa imekuaje???ati sasa mnabadilisha ''nondo'',,,nondo kitu gani bhana,,??kuelekezwa ni muhimu,,cha muhimu ni kutofanya matumizi mabaya ya pesa!.
 
Mh. Magufuli hawa ndio wale mahodari wa kudokoa mstari mmoja wa biblia na kuufanyia kazi badala ya kuangalia essence! Yaani Rais asifanye kazi kwa kuwa alisema hamna semina elekezi? Humuhumu mmekuwa mnapiga kelele ooh mawaziri wanakosea na kweli esp. kufukuza wafanyakazi bila mpangilio sasa anawaita kuwaelekeza bado mnalalamika, what do you really want ? Ukweli kabisa hamsomeki!
Ni kweli alisema hamna semina elekezi,,kwa sababu aliwaamini hao mawaziri kuwa wana weledi,,na alitaka kusave pesa,,si ndio??imekuaje anawaita kuwaelekeza kama ulivoandka??first,,waadmit kuwa seminar elekezi ni muhimu na c kutafuta kick,,eti mnasave pesa,,mwngine huku kasema wanaenda kupewa nondo,,
 
Unaweza kuzaliwa ukiwa na akili timamu ila ukishakuwa tu mwanachama wa ccm akili na upeo wa kifikra unakwisha.sasa magufuli alisema hakuna cha semina elekezi kwa mawaziri lakin yale yale yanajirudia semina kufanyika kesho.Kikwete anacheka kimya kimya tu.Ccm ni ile ile bana.
 
Acha kujibaraguza!!aisee,,ati wapewe nondo!!kwanini wasipewe nondo ile mwanzoni walipoanza kazi???mlizd sana,,naona mmekubali kuwa mawaziri wanafanya kazi kwa mizuka japo mnajaribu kulielezea tofauti,,thus the truth and the whole truth ,and nothing bt the truth!!ati ''seminar elekezi hazitakiwi,,hizi sio enzi za jk'''looh sasa imekuaje???ati sasa mnabadilisha ''nondo'',,,nondo kitu gani bhana,,??kuelekezwa ni muhimu,,cha muhimu ni kutofanya matumizi mabaya ya pesa!.
Naona umebakiza biti tu
Nawe uende studio kutoa wimbo
Kazana ndio fani zenu hizo
 
Unaweza kuzaliwa ukiwa na akili timamu ila ukishakuwa tu mwanachama wa ccm akili na upeo wa kifikra unakwisha.sasa magufuli alisema hakuna cha semina elekezi kwa mawaziri lakin yale yale yanajirudia semina kufanyika kesho.Kikwete anacheka kimya kimya tu.Ccm ni ile ile bana.
MBOWE aliwekeza penye hasara du!
 
Back
Top Bottom