Mawaziri kuendelea kuishi hotelini

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,972
3,830
KATUNI(461).jpg

SASA NI ZAIDI YA MIEZI SABA MAWAZIRI WANAISHI KWENYE MAHOTELI....AMBAPO GHARAMA KWA SIKU (hutegemea aina ya hoteli) NI ZAIDI YA LAKI MBILI (200,000)
PIGA LAKI MBILI MARA MIEZI SABA
NI HILO NI KADIRIO LA CHINI.......KISA.....MPIGANAJI MAGUFULI SI ALIUZA NYUMBA
 
I HATE POLITICS....nachukia siasa....ziwe maji taka au maji baridi.......POLITICS IS A DIRTY GAME......hata uingie msafi vipi....matope ya wenzako yatakurukia tu
 
Unataka kusema serikali imeshindwa kumpangishia nyumba badala ya kumuweka hotelini muda wote huu? Unavyomlaumu Mugufuli kwa kuuza nyumba za serikali, huo uamuzi aliuchukua bila kupitishwa na baraza la mawaziri? na rais wakati huo alikuwa wapi kuzuia?

Hapa kinachoonekana nyumba ziliuzwa baada ya viongozi wote kuridhia na si mtu mmoja.Isitoshe huenda hata si Magufuli aliyetoa wazo la kuuza nyumba ila yeye alikuwa mtekelezaji wa kile alichoambiwa kufanya.
 
P1000041.preview.JPG

ccm oyeeeeeeeeeeeee
na hapo ni uwanja wa fisi , tunaipenda ccm na tuliichagua ka moyo wetu mmoja
 
Rafiki yangu nyalandu kanunua block nzima ya nyumba za bima pale singida na bado anakaa hotelini.
Ni zamu ya vijana sasa kula.nukuu ya uvccm.
 
Back
Top Bottom