Mawaziri Kenya waanza mgomo

Kwa Kenya tusishangae!. Ukabila uko juu mno. Mjaluo hamkaribishi Mkikuyu, Mkikuyu hamkaribishi Mkamba wala Mjaluo, Mkamba naye hamkaribishi Mjaluo au Mkikuyu. Hivyo hawawezi kuelewana. Kazi kweli kweli!
 
Raila has a most daunting task ahead,may be the very most one in his whole political career so far, Unfortunately, nimekuja ku-realise that Kenyan politics are damn opportunistic kuliko rationalistic, kila mtu anajichomeka pale anapoona kuna 'kula', (hata Bongo wapo, ila ya majirani imezidi).
Huku ODM wakianza kuparanganyika, Balala nae akishika hamsini zake, naona moshi mweusi mbeleni, tusipofanya jitihada za maksudi jirani zetu hawa ya Jan 2007, nayaona yakitokea within the next few months ktk streets za Kibera na Nai.
God save us from this mess!
 
No i dont think if it will cost him much politically coz the guy knows how to shuffle the cards.

Kama hii plan yao ya kususia cabinet naona itakua effective coz hapa itamlazimisha Annan arudi.Gvnmt haitaweza kufanya kazi kama side moja ya coalition gvnmt imekataa kufanya kazi.

Pia ndani ya ODM,hata mtu kama Najib balala akitoka sidhani ni ishu coz watu wa mvita nao hawana imani kubwa sana na huyu jamaa and besides Raila ana alternative ya mtu mwingine influencial huko coast province.kazi kubwa iko hapa Rift valley.hiyo ni voting block but akina kosgey wakichanga karata still watapata supporters.

Kisii Nyanza nako Raila anahitaji kufanya kazi ya ziada.kwanza wakisii wana ishu na Raila tangia aliposhindwa kumpa sapoti tajiri wao Simione Nyachae in 2002..but he's an irrelevant chap in kenyan politics.
 
People, looking this issue as an African I am extremely suddened. Hivi jamani when shall we African realize that we are responsible for our own destiny?
Infact I dont see anything wrong kwa Raila to suspend ministers accused of stealing money from common wananchi wa Kenya! Kwanza Kibaki ingebidi afurahi kwamba Raila amekuwa bold to deal with strong personality kama Ruto! As smatta says, the old man wants to score political points at the expense of poor Kenyans!

Hivi mnafikiri hizo pesa zingejenga shule ngapi? zingesaidia wenye njaa wangapi?

Yaani kweli na hili mpaka US, Kofi Anan et al waingilie kati? Yaani cant Kenyans sit downs and realize that its their country and their people? Hivi waafrika tulilaaniwa? Duh inasikitisha. Unfortunately hii issue itageuzwa na CNN, BBC et al that its Kikuyu vs them or them vs Kikuyu!

Hapa hakuna ukabila wala nini ni greedness and selfshness za hawa viongozi.

Poleni wananchi wa wakenya.
 
No masasnja,you cant deny the existence of tribalism ktk background ya hili otherwise kibaki asinge-behave hivyo.

Kibaki anachukua advantage ya ukabila ili kummaliza Raila kisiasa ,so anatafuta umaarufu wenye rangi ya ukabila ndani yake pamoja na tamaa za kijinga jinga tu
 
Katika nchi za kiafrika hasa zilizotopea kwa ufisadi na rushwa wanasiasa huweka Chama mbele kuliko nchi,kabla hatujaenda Kenya hebu tuangalie Tanzania,wakati wanasiasa kibao wanatakiwa waachie ngazi kwa kuhusika na ufisadi,wanazidi kulelewa na CCM kwa ajili eti ya kulinda mshikamano wa Chama,na si mshikamano wa wananchi,haya huko Kenya Mkulu Mwai kwa kushawishiwa na wana PNU wenzake wanashindwa kuwatimua mafisadi eti kulinda chama.Hizi ndio nchi corrupt za kiafrika na ukienda kote Africa wimbo ni huo huo kulinda chama.
 
People, looking this issue as an African I am extremely suddened. Hivi jamani when shall we African realize that we are responsible for our own destiny?
Infact I dont see anything wrong kwa Raila to suspend ministers accused of stealing money from common wananchi wa Kenya! Kwanza Kibaki ingebidi afurahi kwamba Raila amekuwa bold to deal with strong personality kama Ruto! As smatta says, the old man wants to score political points at the expense of poor Kenyans!

Hivi mnafikiri hizo pesa zingejenga shule ngapi? zingesaidia wenye njaa wangapi?

Yaani kweli na hili mpaka US, Kofi Anan et al waingilie kati? Yaani cant Kenyans sit downs and realize that its their country and their people? Hivi waafrika tulilaaniwa? Duh inasikitisha. Unfortunately hii issue itageuzwa na CNN, BBC et al that its Kikuyu vs them or them vs Kikuyu!

Hapa hakuna ukabila wala nini ni greedness and selfshness za hawa viongozi.

Poleni wananchi wa wakenya.
Sidhani wengi wa hao wanasiasa wana the interest of Kenyans at heart, this is plain greed camouflaged by political interests, its sad because our elections are around the corner (2012) and if these people dont give us a new constitution and get their act together, it will be a very sad affair. It saddens me alot to see how people can be played by politicians into fighting and killing each other, while they sit back and enjoy the lavish lifestyle they have acquired illegally. Waafrica tunashida if this is the crop of leadership that we have, heri nyie.
 
To be honest i really admire Raila's courage.The guy amefanya mambo makubwa na sacrifice kubwa sana even before multi-party system katika kuleta reform kenya.
 
Mkuu Maxshimba,

Heshima natanguliza na kisha nataka nikuhabarishe kuhusu hii kitu inayoendelea Kenya.

Kwa taarifa yako Raila Odinga hakuteuliwa na mtu yoyote bali alichukua wadhifa wa kua Waziri Mkuu based on the Constitutional Change that was agreed upon after the election violence of '07 na the subsequent muafaka ambao Koffi Annan alisaidia kuleta. Kwa hivyo unaposema aliteuliwa you are not correct.

Kipengele cha katiba ya Kenya kuhusu hii kitu kinasema hivi:



Kwa hivyo iwapo wewe ndie kiongozi wa chama chenye wabunge wengi Bungeni then you become the Prime Minister. Hamna cha kuteuliwa wala nini. Raila is the leader of ODM which has the majority seats in Parliament by a big margin.

Kisha Section 4(1) inasema hivi:



Kwa hivyo the responsibilities of the Prime Minister in this case are very clear and in this case Raila Odinga is simply carryiing out his responsibilities.

Unfortunately to many people the true reason and need for Raila to suspend these Ministers has been interpreted to be that he is firing them which is not the case. Kama alivyosema Balozi wa Marekani nchini Kenya, suspending the Ministers in charge is the fast step to unmasking how public money has been embezelled.

The fight is against corruption which very few Kenyan leaders have been willing to do. Raila peke yake ndiye ameamua to confront this mongerel face to face for the love of his country and whatever happens so be it.

Rais Kibaki on the other hand anajulikana kama mwizi na ameunda genge lake la wezi na kuwapa nafasi nyeti serikalini kuiba hela. Kwa akili yake fupi anadhani hizi ni siku za Kenyatta na hakuna mtu atasema kitu. Kutoka ashinde zile kura za '03 mpaka leo imekua skendo baada ya skendo mtindo mmoja na mabilioni ya hela yanapotea kila kukicha.Kwa nini mtu asimconfront on that issue?Wale waliompa Raila kura believed they had a leader who would do this na if Raila did not then it would be a betrayal of his followers and many Kenyans who did not vote for him.

Hii ishu si ya kupigwa vita kiukabila bali ni kupiga vita mafisadi na familia teule ambazo zimeamini kua Kenya ni yao. That has to stop!


That is why I love JF.

Asante Mkuu kwa ilmu.
 
Usishangae kuona 2010 mkikuyu Martha karua akaanzisha chama halafu akaenda kuungana na akina Raila tena coz najua ODM inaweza vunjika 2012 but Raila akaanzisha chama kingine na wale watakaokua wametoka PNU,watu kama Peter kenneth wa huko murang'a hawaaminiki sana ndani ya PNU
 
This is little more than political jostling ahead of 2012. The PNU - ODM-K alliance is using Ruto to haul in the Rift Valley vote. I think Ruto has negotiated a sweeter deal than the one offered to him by ODM. I'm guessing deputy premiership or vice-presidency.
 
Usishangae kuona 2010 mkikuyu Martha karua akaanzisha chama halafu akaenda kuungana na akina Raila tena coz najua ODM inaweza vunjika 2012 but Raila akaanzisha chama kingine na wale watakaokua wametoka PNU,watu kama Peter kenneth wa huko murang'a hawaaminiki sana ndani ya PNU

Peter Keneth, Kenya's Obama, thts what some people say.
 
When the coalition Govt was put in place in Kenya, I praised Africa for this great move! That, different ideologies can swiftly ignore and bury the past for the betterment of the nation, of the people. I was wrong!!

Kenya seemed to take a mentorship role of their Zimbabwean brothers. But if this coalition fails, I know it will fail... what should we expect from that of Zimbabwe?? What sort of message is Kenya intends to convey? Wht about the proposed, delayed and long overdue coalition between CUF and CCM in Zanzibar?
 
Peter Keneth, Kenya's Obama, thts what some people say.

But honestly i like thios guy..he's hardworking young chap.Nadhani ni assistant minister katika planning and vision 2030.naweza sahihishwa kama nimekosea hapo..

Centarl province sidhani kama Kenyatta ataweza kufua dafu kwa huyu mkulu.

some of his information...

Date Of Birth: Sunday November 7, 1965Gender: MaleProfile:Employment History
Jan 1985-Nov 1986: Nationwide Finance Company
Dec 1986-Jun 1997: Prudential Finance & Bank, Rising to Bank Manager
Sept 1997-Nov 2002: Managing Director, Kenya Re-InsurancePrimary Education: Bahati; Uhuru Primary Schools
Secondary Education: Starehe BoysUniversity Education Other Education: Parliamentary DutiesContactsPhone Number: 0722 512996Email: andykenneth@hotmail.comPhysical Address: Postal Address: P.O. Box 69814, Nairobi, Kenya


N
 
Hii inatupa picha halisi kuwa huu muungano upo kwenye makaratasi tu! Kama allegeations ziko wazi kwanini zipingwe na mwingine na ni kwa faida ya nani?

Poleni ndugu zetu Wakenya; hakika Afrika tunayo safari ndefu!
 


Mwenye mamlaka ya juu Kenya ni Rais na Waziri Mkuu ni mtendaji chini ya Rais na kwa maelekezo ya Rais.
MaxShimba,
This was true in the old formulation. In a coalition government, according to the agreement following the 2007 election debacle, the powers between Rais and Waziri Mkuu are supposed to be on par. That is why there is this tug of war between Rais and Waziri Mkuu. The old formulation does not work here. Usimlaumu Raila bure.
 
mwache aondoke maana he is there kuleta furugu tu hana maana kabisa..how dare unasimamisha mawaziri ambao sio wewe uliyewachagua na kuwaapisha?how??kwanza kibaki anatakiwa kuacha kuongoza nchi kwa kushirikiana na hili livuta bangi..

Kigogo,

tafadhali fanya heshima na comment zako. Sio freshi usemavyo maana huna
uhakika wa unalosema.Nenda ukasome makubaliano ya muafaka and the
provisions therein kabla hujaanza ngonjera.
 
Forget about the peace accord or katiba inasemaje.....
Hivi kwa busara ya kawaida tu kweli Raila alishindwa kushauriana kwanza na Mkuu wa nchi kabla ya kuwasimamisha kazi mawaziri walioteluiwa na Mkuu wake?
I think the guy is always looking for fights.

..Mtani wangu wa jadi,(jana mumeshinda eti..:)

Kuhusu hii ishu nadhani huja come to grips na hali halisi. Raila is not looking
for fights but simply put it has come a time in Kenya where somebody has to
speak up against corruption...no matter the consequences. In this case the man
is Raila.

Nasubiri Bongo nione kama kuna mtu atamwambia Muungwana aache kucheka
na kina Chenge na RA.Kisha tuone kama utasema that person is looking for fights.

Tuko Pamoja.
 
Usishangae kuona 2010 mkikuyu Martha karua akaanzisha chama halafu akaenda kuungana na akina Raila tena coz najua ODM inaweza vunjika 2012 but Raila akaanzisha chama kingine na wale watakaokua wametoka PNU,watu kama Peter kenneth wa huko murang'a hawaaminiki sana ndani ya PNU

Ben,

I like your mtazamo on this one.

Tatizo na Martha Karua ni kwamba watu washajua kulikoni upande wake.
Unahabari huyu mama alijiuliza wadhifa wa Minister of Justice?...kisa na kisababu
ni kua Kibaki aliwateua majaji f'lani bila kutaarifu. Lakini kwa undani ukitizama
utaona kua alikua anamaindi sana kwa nini Kibaki hampi ubavu wa nguvu when
it came to succession matters na yeye alikua mstari wa mbele kutetea Uwizi wa
kura za '07 by Kibaki. Insteas Kibaki alikua anampa Uhuru Kenyatta all signals
kua the torch bearer wa PNU when Kibaki exists the scene.

Huyu mama alimletea Koffi Annan kidomo domo mpaka ikabidi Graca Machel,
mkewe Mandela, amkomalia na amwambie anyamaze maana kuna wanawake
zaidi ya yeye ambao wamekua frontline kupigania ukombozi wa nchi za Africa.
Kwa ufupi ana mahasira ya mkizi huyu mtu na ukabila mumo kwa mumo.

Kwa hivyo sioni Raila akitia timu naye.

Hio tetesi ya kina Peter Kenneth nimesikia kwa watu kadhaa maana jamaa ni
born tauni/mtoto wa mjini kistepu na hana ukabila. Kisha alikua anapiga soka
klabu moja ya zamani ilikua inaitwa Re-Union ambayo ilikua inasidikiwa kua
Gor Mahia ndogo. Kama unajua Gor Mahia ilikua klabu ta wajaluo. Kwa ufupi
watu wanamkubali kutoka kambi zote na Uhuru anachukia kweli hii kitu.

All in all time will tell.

Shukran.
 
Back
Top Bottom