Degrii lala hizo wengi wanajiita Madr. sijui wengine ni wale wa kienyeji?
VIGOGO wa Serikalini walio madarakani ambao walighushi shahada za degrii bandia wametakiwa kuachia nyadhifa hizo pia na kurudi shuleni.
Msimamo huo umetolewa jana na Serikali kupitia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Jumanne Maghembe.
Kutolewa kwa msimamo huo ni baada ya uchunguzi wa kina uliofanywa na Serikali na kugundua kuwa kuna vigogo wengi Serikalini wakiwemo mawaziri nane wa Serikali ya sasa wametunukiwa digrii bandia baada ya kusoma vyuo feki vya nje ya nchi na ambavyo havitambuliki na Mamlaka ya Elimu nchini.
Maghembe amesema kuwa, vigogo mbalimbali nchini wanaoshikilia nyadhifa mbaimbali kwa vyeti vya kughushi wanatakiwa waachie madaraka hayo mara moja na warudi tena darasani.
Amesema kutokana na utata huo wa vigogo wengi walioshika madaraka katika idara mbalimbali nchini wenye digriii bandia walizozipata kwenye vyuo visivyotambulika na Tume ya Vyuo Vikuu nchini [TIC], Serikali imetoa ofa ya kuwalipia karo katika Chuo Kikuu Huria maofisa na watumishi wote waliokumbwa na tatizo hilo.
"Wenye PHD za kughushi, shahada za uzamili na uzamivu wajitokeze hadharani na Serikali itawalipia gharama za masomo katika Chuo Kikuu huria" amesema Waziri Maghembe.
Amesema kama watu hao wasipojitokeza na Serikali inawatambua basi hatua zitachukulia ikiwemo kuwaumbua hadharani endapo kama hawatajitokeza wenyewe.
Wana JF huyu Mama alikua na scandal ya kujipa maallowance ya kufa mtu pale bunge la africa, issue iliishia vipi? na mijivyeo kibao aliyokuwa nayo ni lzm aeendelee kuwa mbunge wa ukerewe while ni Raisi wa Bunge la Africa?Mary Nagu nasikia ni Dr. pia
Wana JF huyu Mama alikua na scandal ya kujipa maallowance ya kufa mtu pale bunge la africa, issue iliishia vipi? na mijivyeo kibao aliyokuwa nayo ni lzm aeendelee kuwa mbunge wa ukerewe while ni Raisi wa Bunge la Africa?
VIGOGO wa Serikalini walio madarakani ambao walighushi shahada za degrii bandia wametakiwa kuachia nyadhifa hizo pia na kurudi shuleni.
Maghembe amesema kuwa, vigogo mbalimbali nchini wanaoshikilia nyadhifa mbaimbali kwa vyeti vya kughushi wanatakiwa waachie madaraka hayo mara moja na warudi tena darasani.
Amesema kama watu hao wasipojitokeza na Serikali inawatambua basi hatua zitachukulia ikiwemo kuwaumbua hadharani endapo kama hawatajitokeza wenyewe.
kuna utata wa tafsiri ya neno "kughushi" nadhani waziri alimaanisha kuwa wale waliopata degrees kutoka vyuo visivyotambulika(non-acredited universities).Kuwa na degree kutoka kati ya vyuo hivi haimaanishi kuwa umeghushi cheti. Cheti chako ni halali ila shule uliyosoma haijatimiza viwango vya kusajiliwa kama "acredited University" maana kughushi ni ciminal offense. I just wanted to clarify that.
Degrii lala hizo wengi wanajiita Madr. sijui wengine ni wale wa kienyeji?