mawazi wetu wa tanzania wote wezi

mmzalendo

Senior Member
Nov 1, 2010
165
1
juzi juzi pinda katuibia eti ina muhuma sana wananchi kuvunjiwa
nyumba wakati ukweli ni kwamba meya wa ilala JERRY kwa kushirikiana
na mafisadi wa outdoor walikwenda kushitaki wa waziri mkuu hayo mabango yasiondolewe kwa maana manispaa itakosa hela japo wanakiri kujengwa kwenye eneo lisilo ruhusiwa kwa hiyo waziri mkuu yuko tayari dar tuwe na foleni mpaka kufa
kwa sababu ya biashara ya outdoor wao waingize sisi tuhumie kisha najiita mtoto wa mkulima
lakini mkataba ukimalizika kati ya ilala na outdoor mabango yakitolewa na bomoa bomoa litaanza upya


asante sana www.lifeofmshaba.com

kwa kunitonya ili
 
juzi juzi pinda katuibia eti ina muuhuma sana wananchi kuvunjiwa
nyumba wakati ukweli ni kwamba meya wa ilala JERRY kwa kushirikiana
na mafisadi wa outdoor walikwenda kushitaki wa waziri mkuu hapo mabango yasiondolewe kwa maana manispaa itakosa hela japo wanakiri kujengwa kwenye eneo lisilo ruhusu kwa hiyo waziri mkuu yuko tayari dar tuwe na pole mpaka kufa
kwa sababu ya biashara ya outdoor
lakini mkataba ukimalizika kati ya ilala na outdoor mabango yatatolewa na bomoa bomoa litaanza upya


asante sana www.lifeofmshaba.com

kwa kunitonya ili
Mkuu,
Una hoja, lakini unaonekana kuwa na mhemko mkubwa sana na habari hii!!!
Tokea kwenye heading hadi content kote kunasoma jazba!..
Aksante kwa taarifa anyway!
 
Mkuu,
Una hoja, lakini unaonekana kuwa na mhemko mkubwa sana na habari hii!!!
Tokea kwenye heading hadi content kote kunasoma jazba!..
Aksante kwa taarifa anyway!

kaka ni disability yangu ya muda mrefu sina pesa ningeweka mtu wa ku edit mambo yangu ili ujumbe ufike
 
nakubaliana na wewe na jazba nalikubali pia sababu unaonyesha uchungu na nchi yako...pinda ni fisadi,anamiliki mabasi ya sumry
 
Back
Top Bottom