Duuh_tread nzuri hii,..hata mimi mke wangu analalamika sana kuhusu hili,..ila to me sioni kama ni issue kivile_maake asubuhi tunaagana na jioni tunakutana,..haya mambo ya umekula lunch_ndio,umekula nini wali samaki,jitaidi kula bana si unajua wewe ni mvivu kula...wengine zinatuboa,....
Nb:Kwa uopande wangu sio kwamba simpendi nampenda saaaaaaaaaaana,...sema hayo mambo ya ki_baby mara sweet,honey hatuyachukulii kivile.....hii ni kwa sisi tuliosoma st.kayumba.
mwenzangu we acha tu, tena mie ndo sipendagi kabisa hizo sms za sijui umekula sijui umekula nini, huwa naona michosho tu na i find it very high school. mtu mzima mie waniuliza kama nimekula ili iweje? eti mapenzi, lo wizi mtupu.
sijasoma st. kayumba na bado sipendi mambo ya kitamthilia