Duuh pole sana, huyu mumeo ni aina ya wale wanaume wanaoamini kua, thamani ya mwanamke huonekana pale ka giza kanapoingia ,kwa sababu anajua karibia mtakutana kitandani, Siku nzima anakua hana time na wewe, inauma kwa kweli.
Hizo simu ndizo zimetufanya tuendelee kuwa maskini kama NCHI kwani watu hawafanyi kazi wanawaza sms tuuuuu; jamaa anataka kujenga taifa ndio maaan yupo busy...mshaurini mwanamke mwenzenu kuwa apunguze usumbufuuu sio vinginevyo...