mawasiliano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mawasiliano

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by strit boy, Sep 13, 2012.

 1. s

  strit boy Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf,leo nimekumbwa na mkasa,ni hivi nikiwa chumbani na mke wangu sim yake ikaita kwa bahati nzuri nilikuwa karibu nayo namba yenyewe imeandikwa my smile nilipo muuliza akaniambie eti ni rariki yake anaitwa mariam nilipotaka kumpigia akanipora sim na kudelete hakuishia hapo na line ameikata kata na kuitupa mbali vipande vipande jamani kuna nini hapa si kuibiwa huku
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,238
  Likes Received: 5,408
  Trophy Points: 280
  tembeza fwimbo hapo kionzi!!!!!!!!!atasema tu ukweli!!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  mulika mwizi jombaa.....
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,898
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Kichapo muhimu, ndoa zimedharauliwa sana siku hizi
   
 5. k

  kisukari JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,568
  Likes Received: 803
  Trophy Points: 280
  ama kweli,mbona hilo sio la kuuliza,kwani jibu lipo wazi,huyo mke wako,anae mtu kaona issue itajulikana kaamua kupoteza ushahidi.muelimishe mke wako.saa nyengine ku cheat ni kuwa na mapungufu ndani ya ndoa yenu,jaribu mkae na msuluhishe hayo mapungufu yenu{mmh my smile}
   
 6. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukiona hivyo ujue mnasaidiana na jamaa.
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ukiona manyoya ujue ameshanyonyolewa. . .
   
 8. N

  Neylu JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,648
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  SUTUKAAAAAAAA... Unaibiwa ndugu..
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  kama ni maabara, technician kala sampo
  kama ni police post, polisi kala ushahidi.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,616
  Likes Received: 21,258
  Trophy Points: 280
  Au ndo maana huy Smile wa JF kabadili na jina?
   
 11. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  ah wala usijali mwanawane...hapo wewe ndio umepata free pass ya kuchakachua vimada upendavyo....i suggest u celebrate ur independence day kaka
   
 12. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  hilo mbona ni jinalangu! Usihofu kama ndio huyu anaye niganda sana, nitakutuzia kiaina. Ha ha ha ha, jifanye mpelelezi sikuojoa aga safari then zunguka umtail siku nzima. Kama vp nikupe bugs za kwenye simu urecord mazungumzo ya siku nzima.
   
 13. s

  sikati tamaa Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ..mie nisingekubali eti lain aikate kate..mmh..pangechimbika
   
 14. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,642
  Likes Received: 859
  Trophy Points: 280
  Umenena aisee @ kisukari

  ...ukisema umtafute huyo mume mwenza utapoteza nguvu na muda,ni bora mkae chini kwa upendo na mjue mapungufu yakowapi..hata my smile atatoweka.
   
 15. s

  strit boy Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  makota yako
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  ahahaaa mi sijaolewa bwana sina hata bf....
   
 17. E

  Edo JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nimefurahi sana kuona jina lako na ushauri uliotoa vinashabihiana, ila ukweli kwa kitendo hicho cha mamsap jibu lipo wazi.
   
 18. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  My smile ndio nik name ya mumemwenzio! Pole mkuu!
   
 19. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  labda ni Smile wa humu JF!ok,acha upole,kuna sredi humu ilijadili suala la upole,ke wanataka me tuwe wakali sometimes
   
Loading...