Mawasiliano yamekuwa magumu sana

Mawasiliano yamekuwa magumu sana

Wanawake kama hujawasoma watakusumbua sana na mbaya zaidi ni pale matukio kama haya yanatokea kwa yule unayempenda sana sana. Kuna wakati unaweza kufikiri labda amepata mtu mwingine nd'o maana anakupotezea, lakini sivyo ni vituko tu yani mwanamke akiamua kukufanya vituko utajuta ila dawa ni moja tu kama hujamkosea muache atakupigia mwenyewe. Wewe kaa kimya tu endelea na mambo usimtafute anataka kuona utafanya nini
Kumshauri kukaa kimya sio Sawa. Anaetaka Ushauri haja weka wazi Mambo Yao mengi hivyo huenda Jamaa Ndio anashida.

Mimi nilinuniwa, Kumbe kuna Hela nilisema nitampa halafu sikumpa na tulipotoka Nikawa Mali Kwenye matumizi.

Nilizimiwa simu. Ikabidi nirushe Nusu. Kesi ikaisha mdogo wako Napiga game.

ILa Hilo halikuniacha Kapa. Kuna nilichojifunza.
 
Pole sana mkuu, nitakushauri kwa kuvaa viatu vyako. Hakuna kitu kizuri kama kuheshimu maamuzi ya mtu hasa kwenye mahusiano. As a man umegundua partner wako anakuavoid na umetumia njia mbalimbali kuweza kuwasiliana nae ila kwa makusudi kabisa anakupotezea. Ukweli ni kwamba missed calls na texts zako anaziona ila haoni tena umuhimu wa kukujibu au kukupigia. Samahani ila ukweli ni kwamba binti haoni tena thamani yako mkuu. So cha kufanya acha kufanya mawasiliona yoyote heshimu maamuzi yake brother ukiendelea kumtafuta unajidhalilisha na kujishusha thamani
Mapenzi sio Automatic ama user friendly. You need to work hard. Msirahisishe Mambo. Ndoa Hizi hazitodumu.
 
Mtumie text mwambie unataka kumtumia pesa uwe kama unamuuliza umtumie kiasi gani mbona atarespond fasta tu
ahaa jiliwaze tu wengine tunaridhika na umaskini wetu pesa haitusumbui yaan kuna jamii ya wanawake kama mm siwezi shobokea pesa ya mwanaume niwe na shida ya kufa mtu mtu wa kukimbilia ni shoga yangu na si mwanaume.

Tushachoka na masimango yenu atume asitume tunaona poa ahaaaaaa nini tusichokijua kwa wanaume? Anatuma pesa yake as if kalazimishwa.

Yaani mm ni maskini jeuri mwanaume akigusia swala la pesa walaa siwezi shobokea hata kuchangia nataishia kujibu ok.

Mshauri mwenzio vya maana na si pesa as if binti wa watu hajawahi kugusa pesa.
 
Pole ndugu,pole sana.
Sina la kukushaur zaid ya kukupa pole maana UNAMPENDA
 
kwan ukipiga simu isipopokelewa si unatakiwa usubirie uliempigia akikuta missedcall atakutafuta,ww umepiga sana ndo maana utasubiria sana by the way "ukiona manyoya.........."
 
Na wewe kaa kimya kama upendo upo atakutafuta tu ndo akueleze nini chanzo na yeye akikaa kimya jua ndo basi tena
 
Back
Top Bottom