Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,937
- 3,200
Nimehama ule mkoa kwaiyo Nimebadilisha kila kituBezikale thank you.
ulimisika pia ukichangia lile jina langu nalolipenda silioni tena.
Nimehama ule mkoa kwaiyo Nimebadilisha kila kituBezikale thank you.
ulimisika pia ukichangia lile jina langu nalolipenda silioni tena.
Kipi chief?? Hope sio kwa ubaya maana wenyewe wanasema "enternet never forgets"Nikionaga umeandika kuna kitu nakumbuka
Hewalaa... karibu.
Kwasababu tupo kwenye uzi unaozungumzia "mawasiliano"itakuwa vizuri tukiongea mkuu.Wewe mtu ninakuchukia basi tuuu
Sinaga moyo wa chuki pia sichukiagi watu ila wewe ninakuchukia .....kuna siku ulicomment kitu nikakujua kumbe ni wewe jf unatumia hii id!!!!
Nashangaaa saana unavyojifanya kuongea mambo ya busara while ur not .
Kwasababu tupo kwenye uzi unaozungumzia "mawasiliano"itakuwa vizuri tukiongea mkuu.
Kwanini unanichukia?