Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Sawa wamekusikia
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] Mwanafunzi huyu[emoji116] [emoji116]Yap yap mkuu kila daya kila saa
Huwa unawasiliana na bibie?
Na Mimi nitatafuta mzee mwenzio wa kunilea najua hutaweza kunichoma huku ulikokula mahari.. Maana ukinichoma na mimi naenda kukuchoma kwa bibi ....na mwambia unamchepukoo[emoji4] [emoji4] tena Mdogo Mdogo...Eeh nikumbushwe ya nyuma kwa raha zangu.
Sasa wewe utafaidikaje?
Tangu lini mwanafunzi akamiki mke tena mwanafunzi wa kidatoHaha...
Mbiti vipi sio mkewe?
Hewaaala hapo tupo sambamba... sasa jenga naye urafiki unirahisishie mambo.Na Mimi nitatafuta mzee mwenzio wa kunilea najua hutaweza kunichoma huku ulikokula mahari.. Maana ukinichoma na mimi naenda kukuchoma kwa bibi ....na mwambia unamchepukoo[emoji4] [emoji4] tena Mdogo Mdogo...
We mchombeze tu joanah mi sina shida ila vigezo na masharti kuzingatiwa ...tena kutopeleka ukoo mbali nitajibebisha kwa
Mshana Jr [emoji126] [emoji126] [emoji39] [emoji39]
Muulize vizuri huyo mwanafunzi kama anataka ndoa au shule[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wasalaam asante kwa kushiriki kutuletea ujumbe murajabu kabisa
[emoji4] [emoji4] nisije kupigwa babu ukute Mali za wenyewe... Nisutwe mtt wa watu bure[emoji144]Hewaaala hapo tupo sambamba... sasa jenga naye urafiki unirahisishie mambo.
Akijibu nitagCc Beira boy
Pamoja mkuuPoa poa chifu.
[emoji52] babu hapo mwisho sasa hapooo sijui umeandika chichewa kwanza ngoja nilaleMimi ndiye mkuu wa kaya... fear none respect all.