Mawasiliano na mpenzi wako

Mawasiliano na mpenzi wako

Cathelin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,071
Reaction score
3,997
Hi,

Vipi wakuu Ni mawasiliano gani unayapenda;. Yale ya kuwasiliana na mpenzi wako Mara kwa mara yaani asubui, mchana,jioni na usiku, au Ile ya asubui na usiku basi.

Au Yale ya kuwasiliana Leo mtachekiana Tena kesho yake, au Yale ya kuwasiliana Mara moja kwa wiki.

Wewe unapenda mawasiliano yapi Kati ya hayo?
 
Yani uwasiliane na mpenzi wako muda wote kwani huna shughuli ya kufanya? Umekula sijui umefanya nini😏😏😏

Wakati mwingine ukishamjulia hali njoo na mipango ya kufanya kuongeza kipato.sio kila saa umekula!umeoga 🥵🥵haya sijala nilishe 🤨🤨
 
Me kwa kwel unawez kuchukua hata cku tatu cjawasiliana nae na ninajion nik normal tu
 
Yani uwasiliane na mpenzi wako muda wote kwani huna shughuli ya kufanya?
Umekula sijui umefanya nini

Wakati mwingine ukishamjulia hali njoo na mipango ya kufanya kuongeza kipato.sio kila saa umekula!umeoga haya sijala nilishe
dear sikuweziiiiiii.
 
Yani uwasiliane na mpenzi wako muda wote kwani huna shughuli ya kufanya?
Umekula sijui umefanya nini😏😏😏

Wakati mwingine ukishamjulia hali njoo na mipango ya kufanya kuongeza kipato.sio kila saa umekula!umeoga 🥵🥵haya sijala nilishe 🤨🤨
Umeshazeeka dear anaeuliza yupo kwao anakula ugali wamama hivo havijui.
 
Yani uwasiliane na mpenzi wako muda wote kwani huna shughuli ya kufanya?
Umekula sijui umefanya nini😏😏😏

Wakati mwingine ukishamjulia hali njoo na mipango ya kufanya kuongeza kipato.sio kila saa umekula!umeoga 🥵🥵haya sijala nilishe 🤨🤨
Kweli kabisa hizi sms za gud morning gorgeous, umeamkaje inafika sehemu zinakuwa kawaida.
Raha bwana ni kuwasiliana wakati mnataka kunyanduana na pia mawasiliana mazuri ni yale ya kukutana live...have a proper conversation.
 
Kuwasiliana muda wote 24/7 na kuongea nonsens
Screenshot_20220917-233232_Messages.jpg
 
Back
Top Bottom