Mawasiliano na Mahusiano


Hii post imenibariki sana FixedPoint mamii aksante sana. Ubarikiwe
 

Situations zilizoshindikana kama hizo, absolutely ni lazima waachane, hata kwa msaada wa ndugu jamaa na marafiki, vinginevyo, cases nyingi za homicide mnazozisikia huwa zinakuwa zimetanguliwa na hali kama hii. Si lazima itokee homicide, lakini ndugu zanguni, fuatilieni visa vyote vya spouses kuuana, huwa vimetanguliwa na mambo kama haya!

Hapo msaada ni kuwasaidia waachane tu, kuendelea kuwa pamoja is not a safe option!
 
"yupo kwa ajili ya watoto"...na ukweli mume anawajali sana watoto wake....mdada kaamua kutokuuliza tena kabisa, alickia/akamuaona mwenzie ana 2mbo walaaaa hajahoji/kuuliza lolote maisha yanasonga.

Ndo maana nilisema kama kuna sababu ya msingi ambayo inakufanya ushindwe kabisa kutoka hapo basi ni kujifanya kama yanayoendelea hayakuhusu................. ingawa namhurumia sana
 

exactly...hata miaka 10 ijayo wewe suguaga goti 2...labda uwe huna roho ya chuma!..kila uvumilivu una kipimo chake.
 
KipimaPembe naomba tuunge undugu. Uwe kaka ambaye kwa muda mrefu nimetamani kuwa naye. Naomba uwe kaka yangu na mkeo awe wifi yangu. Ubarikiwe sana
 
Hii post imenibariki sana FixedPoint mamii aksante sana. Ubarikiwe
Huu ndo ukweli, huwa nasikitika sana ambavyo wamama wengi hatujui heshima tuliyonayo na jinsi tunayopaswa kujivunia. tunabaki kuacha hawa wenzitu wanatupiga kama danadana tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu (leo kwa mchina, kesho kienyeji, mara itafika sijui kwa nani, kisa kuwapa burudani hao ndugu) wao wanabaki wakitushangaa tuuuuuuuuu
 
Ndo maana nilisema kama kuna sababu ya msingi ambayo inakufanya ushindwe kabisa kutoka hapo basi ni kujifanya kama yanayoendelea hayakuhusu................. ingawa namhurumia sana
Hata kama haguswi?
 
KipimaPembe naomba tuunge undugu. Uwe kaka ambaye kwa muda mrefu nimetamani kuwa naye. Naomba uwe kaka yangu na mkeo awe wifi yangu. Ubarikiwe sana
ha haaaaaaaaaaaaa, I can c mtu anapata wifi ghafla......................... mawifi wa kuunga nyie hamtabiriki bwana
 
Ndio maana yake. kama kwa haki ya Mungu huwezi kutoka kwenye hayo mahusiano, kwa sababu yoyote ile, dawa ni kusugua magoti, tena unamgombeza kabisa Mungu kwa ku-quote mistari yake yote ya ahadi

sasa mbona huyu kamgombeza sana but ndio tunasubiri mtarajiwa wa pili?...jamani wa2 wanayoyapitia/maamuzi wanayochukua wanajua wenyewe maumivu waliyoyapata...sishabikii anachofanya na wala cmlaumu anachofanya....
 
"yupo kwa ajili ya watoto"...na ukweli mume anawajali sana watoto wake....mdada kaamua kutokuuliza tena kabisa, alickia/akamuaona mwenzie ana 2mbo walaaaa hajahoji/kuuliza lolote maisha yanasonga.

Kuwepo kwa ajili ya watoto is wrong!! Huwezi kujua mwenzie anafikiria nini. Niseme tena, kwa hawa, si salama kuendelea kuishi pamoja. Hata hao watoto wanajifunza nini kwa wazazi wanoishi hivyo? Kuna damage zaidi kwa watoto kuliko wangeachana wakaendelea kutoa support kwa watoto kila mmoja akiwa kwake!!

Mwisho wa relations za hivyo mara nyingi si mzuri, LABDA, kama walijadiliana na kufikia hiyo conclusion. Hasa hapo kwenye red! Kama hawajakaa wakakubaliana, mtu anaweza akawa yuko kimya ila anawaza ya kwake.

Unafikiri na huyo mtoto anayezaliwa huku baba na mama wote wakijua anatokea nje atalelewa vipi? .......... Hapa ndo separation hata kwa nguvu inatakiwa ifanyike!
 

kwa hili hataki mshauri, 2tashauriana mengine mengi but sio hili, hapo red cjui niandike kichaga sasa.."yupo kwa ajili ya watoto"
 
Hata kama haguswi?
hilo sasa ni swala jingine.
Ngoja nikuambie MJ1, siyo wote walio kwenye mahusiano wanafurahia hayo mahusiano. na siyo wote ambao hawatoki kwenye mahusiano maana yake mambo yao yapo poa. kuna vitu vingi sana hasa sisi wamama tunaviangalia hasa kwenye ndoa.
Ni kweli siyo sawa kukaa kipindi chote hicho bila kuguswa na bila sababu yoyote ya maana. lakini kama Nyamayao alivyosema ni kwamba anakaa hapo sababu ya watoto. Inawezekana kabisa watoto hawajui kabisa kinachoendelea kwa wazazi wao, na mbaya zaidi ni pale unapoona watoto wapo close sana na nyie wote wa2, na wanakuwa na amani wakiwaona wote mpo ndani, hata kama hamuongei.
sasa hapo mama unaanza kujiuliza, nivunje furaha ya wanangu au nijitoe sadaka kwa ajili ya wanangu?
na sisi wamama tuna-imani sana, kwamba siku moja haya mambo yatapita.
 
sasa mbona huyu kamgombeza sana but ndio tunasubiri mtarajiwa wa pili?...jamani wa2 wanayoyapitia/maamuzi wanayochukua wanajua wenyewe maumivu waliyoyapata...sishabikii anachofanya na wala cmlaumu anachofanya....
huyo mtarajiwa wa pili anajisikiaje? anajua the whole story? Namtakia kila la heri, maana kiukweli she need it sooner or later
 

labda nikuambie 2 kwa wa2 wasiojua kinachoendelea wataitamani hii couple, huko nje mbona wapo poa, asubuhi wapo pamoja kwenye gari na watoto wao wanaenda kuwajibika/watoto skul, tena sasa hivi ndio watoto wanaishi kwa amani coz yale maogomvi yaliyokuwepo yame2lia( ile kuulizana/kugombana mbele ya watoto), wewe kama umebarikiwa kuwa na ndoa icyo na kashkash bac shukuru, wengine tunayaona/2mepitia mengi.
 
kwa hili hataki mshauri, 2tashauriana mengine mengi but sio hili, hapo red cjui niandike kichaga sasa.."yupo kwa ajili ya watoto"

Watoto ni watu tena wana akili sana! They know kinachoendelea kati ya wazazi wao, sema hawajui wafanye nini wazazi waelewane, kwani hawajui sababu ni nini. Na wazazi hawawezi kuwaambia. Watoto hao lazima waathirike kwani wengine wataamini hivyo ndo wazazi inatakiwa waishi, guess kitakachotokea kwenye relations zao watakapokuwa wakubwa.

Hapo wanawafundisha watoto how to live with hate, watoto watajifunza nini? .... guilty!! (kuna mtu ameshayaeleza haya humu). Siwezi kuwalazimisha kuachana, na hakuna awezaye.

Ila ndugu na marafiki, ni vizuri m-stay tuned! Katika relations kama hizo chochote chaweza tokea anytime. Not good at all!
 

Nyamayao,

Fear yangu tu ni hapo kwenye homicide. basi. Hizi cases unazozisikia za watu kuuana kwa ajili ya wivu wa mapenzi (huwa media zinarahisisha reporting), nyingi inakuwa ni magomvi ya long term kama haya ambayo inafikia mahala mpaka watu wanawazoea. Halafu ghafla lina-strike ambalo halikutarajiwa!

Kwa sababu katika hali kama hiyo, ni petroli, inasubiri cheche tu kidogo, moto unawaka sana tuu. Kuachana kunazuia uwezekano wa haya kutokea, ndo busara za watu wazima huwa zinashauri hivyo!!
 


aisee FP...umenielewa kupita maelezo, thnx kwa kunyambulisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…