Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Hapo red....... kama mwezi umepita hujamiminiwa protini........Amin amin nakuambia, umeolewa na aliyekutamani, siyo aliyekupenda. Chapa Mwendo!!!!
Source: ODM, Uzoefu.
hiyo sasa ni malaria sugu.................... mtoto wa 2? hapo cha kufanya kama bado unampenda mume basi ukubali tu ku-share, otherwise chapa lapaa
hivi mume wa huyu frnd wangu yeye ni sawa alichofanya?.....kwamba ana hawara na wamezaa na ana mimba ya mtoto wa pili, huyu mume unamsemeaje kwa upande wako?
a
hivi mume wa huyu frnd wangu yeye ni sawa alichofanya?.....kwamba ana hawara na wamezaa na ana mimba ya mtoto wa pili, huyu mume unamsemeaje kwa upande wako?
Rafiki nakusalimu...... hawajambo wakwe zangu?Mwezi!!!kupitisha siku tu ni kwa mbinde, labda usingizie tumbo linauma
Kila kitu kwa kiasi kipima pemba sio unazidisha pombe na mahawara paka unamsahau wife, na hata kama ningemzuia kunywa pombe kipindi cha uchumba angeweza kukubali but mkishaonaona anarudia tabia yake ya ulevi as you know people are god pretenders,cha msingi ni nyie wanaume kutambua tu kuwa wake zenu walivyokubali kuolewa nanyi hawakufuta chakula au mavazi mana hata kwao walikuwa wanayapata hayo!
Shukrani rafiki................. wakwe zako hawajambo, wangu wanaendeleaje?Rafiki nakusalimu...... hawajambo wakwe zangu?
Wameamka salama na kuwahi msalani kama kawaioda, namshukuru Mungu.Shukrani rafiki................. wakwe zako hawajambo, wangu wanaendeleaje?
mawasiliano na mama yao yanaendaje? au sasa imefikia kwa sms?
Wameamka salama na kuwahi msalani kama kawaioda, namshukuru Mungu.
Haa! mawasiliano bado kwa barua bana!
Tone moja la ziada laweza kukuumbua. We unapanga kuachia haja ndogo badala yake unaachia kubwa.......Imagine!!ha haaaaaaaaaaaaaaaa, ULEVI NOMA!
Hili swali nadhani wanapaswa kujibu wanawake..........manake kama mwezi mzima unakaa tu shimo likizibika utamlaumu nani?
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kweli kabisa rafiki yangu, kuumbuka kupo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Tone moja la ziada laweza kukuumbua. We unapanga kuachia haja ndogo badala yake unaachia kubwa.......Imagine!!
Kha!! Nimeshindwa kujizuia kucheka mcban walah! Wewe umepinda
Nimesema kuwa sababu ni kupenda na kuamua kufanya. Mme aliamua kufanya kwa sababu alikuwa anapenda kucheat. Hata hivyo, frnd wako naye alikuwa anakubaliana na hilo, hivyo naye akafanya reciprocity, yaani akafanya kile mme amefanya. Hapo hakuna wa kumlaumu mwingine wote "manziganyanza" (Mwl. Nyerere).
Huyo anayelalamika kuwa alisababishiwa, nakuhakikishia hata huyo mme asingekuwa hivyo, angetoka tu!! Ni sawa na pale nilipotoa mfano wa kuwa ukimkuta CD kwenye kazi ya u-CD atakuambia sababu ni ukosefu wa ajira!! Lakini kule kwenye ajira ma-CD hawapo? jibu ni wapo.
Huyo aliamua kufanya na yeye sababu ni option aliyokuwa nayo kichwani na anaona inafaa. Mme asingefanya hivyo, kungekuwa na sababu nyingine ya yeye kutoka!! Angesema mme ana kisukari....
Usisahau, Bikira Maria ana mimba ya miezi nane sasa........ chonde chonde tufanye maarifa asijejifungulia kwenye hori la ng'ombe.......ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kweli kabisa rafiki yangu, kuumbuka kupo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
sasa hapa Yerusalemu wanaongea habari muhimu sana. mimi si mgeni kabisa hapa na ninafurahia sana hii topic. Big up kwa MJ1
Mume alichofanya sio sawa kabisa, ila hiyo haimaanishi kuwa mke kulipiza kisasi kapatia...................khaa wewe, utakubalije ishu kama hiyo? alipambana akashindwa, mume waliwekwa vikao hakujali....hiyo red...2ongelee ishu iliyopo mezani, mume ndio alianza kama acgeanza bac 2ctabiri kwamba ingekuwaje, hakuna anaejuwa.....
Nyamayao huyu KipimaPembe mie ananifurahisha sana. Anao mtazamo flani mzuri ambao unatufundisha kitu kikubwa sana kwenye mahusiano. Nadhani anachojaribu kusema ni kuwa no matter what the situation, unatakiwa uwe mwaminifu ninamwelewa. Ila ninachoshindwa kumpata vizuri ni lama anaadvocate uvumilivu hasa kwa wale ambao hawana uwezo wa kutoka kwenye hiyo relationship.wasugue magoti waombe wenzi wabadilike au sio?
hiyo sasa ni malaria sugu.................... mtoto wa 2? hapo cha kufanya kama bado unampenda mume basi ukubali tu ku-share, otherwise chapa lapa
khaa wewe, utakubalije ishu kama hiyo? alipambana akashindwa, mume waliwekwa vikao hakujali....hiyo red...2ongelee ishu iliyopo mezani, mume ndio alianza kama acgeanza bac 2ctabiri kwamba ingekuwaje, hakuna anaejuwa.....