Niliwahi kuhoji uwezo wa Kibatala na Lissu kwa kutumia mfano mdogo wa kesi ya Zitto vs Chadema ambapo Chadema iliwakilishwa na jopo la mawakili akiwemo Lissu na Kibatala, wakati Zitto aliwakilishwa na wakili mmoja tu Albert Msando. Chadema ikabwagwa! Halafu Kibatala ameakuwa anatumia mbinu moja tu katika uwakili wake, kutafuta technicalities ndogondogo ndizo anafanya utetezi wake mkuu.Wakuu,
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu.
Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii.
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi.
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?
Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua.
Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.
Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Mbona huamini unachokisema bac sawa hawana uwezo ahsante kwa taarifaKesi nyepesi kabisa hii
Hao mawakili kweli hawana uwezo
Wakuu,
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu.
Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii.
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi.
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?
Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua.
Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.
Ushahidi hujengwa na hivyo vitu unavyoviita 'vidogo vidogo' na vinapounganishwa vinatoa picha kamili ya tukio. By the way, ukimaliza ku'recharge' simu yako hakikisha unaharibu vocha iliyobaki, usitupe. Kama umezoea kutupa baada ya ku'recharge' ikitokea uhalifu ukatokea mfano sehemu uliyonunua, vocha zilizotumika nazo huwa zinaokokwa kwenye upelelezi na unaweza kujikuta ukaunganishwa kwenye kesi usiyoijua, isipokuwa kilichotokea ni kwamba polisi walikuta vocha zilizotumika na wakachukulia kwamba ni moja ya watu waliofanya uhalifu. Hata mimi nilikuwa na mazoea hayo, na tangu nipate somo hilo kutoka kwa askari nikimaliza ku'recharge' naharibu vocha iliyotumika. Sasa wewe unaweza kuona ni kitu kidogo, lakini ndivyo ushahidi unavyojengwa na vitu vyote vidogo na vikubwa. Actually, kwenye ushahidi hakuna vitu vidogo vidogo au vikubwa, bali vyote ni ama vidogo ama vikubwa.
Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
KIBATALA HANA UWEZO MKUBWA KAMA ANAVYOJINASIBU NI MBABAISHAJI TU NA HUYU NDIYO ATAIFANYA KESI IMALIZE MIAKA WAKIMUENDEKEZA SASAHIVI WANGEKUWA WAMEPIGA HATUAWakuu,
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu.
Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii.
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi.
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?
Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua.
Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.
Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
It doesn't matter who leads and who doesn't. What matters is cooperation - working as a team - because to be a team leader doesn't mean that one is more intelligent than others, it only means that one can coordinate well using the insights one gets from other members of the team. To does in a case does not mean that one had weak evidence, it could just be based on technicalities or sometimes the judge may not 'be above suspicion like Caesar's wife'.nadhani nimeshawhi kusema hivyo mara kadhaa
Kibatala is overated, Malya is a deer in the headlight
Madeleka, a former police officer and political prisoner, is a better lawyer by far and away
CHADEMA should enlist Peter Madeleka to head the defense team.
Ila wale waliombambukia wanauwezo mkubwa was kubambikia🏋️.Mawakili wa Mbowe ingekuwa kwenye mpira wa miguu tungesema wanacheza na jukwaa
Kuhusiana na Upande wa Utetezi Mawasilisho yaliandikwa na John Malya
Jaji: Kwamba Maelezo yalichukuliwa Siku ya tarehe 07 ambapo Masaa Manne yalikuwa yameshapita
Kuhusiana na Mazingira yaliyowekwa na Sheria kifungu cha 50 kwamba Mahakama inapaswa kingatia Masaa Manne na kuyaondoa yale ya kusafirisha Watuhumiwa
Jaji: Moshi palikuwa na Nyenzo zote ambazo zingeweza kuwezeha Maelezo kuchukuliwa
Kuhusiana na Mateso, Wakili Malya anasema Mateso siyo lazima yawe ya kimwili, Bali Fikra na utu.
Au Mateso yanayotweza Utu wa Mtu
Jaji: Wakili Mallya akaturejesha Kwenye katiba pia
Na Pia akaturejesha Kwenye Tamko la Umoja wa Mataifa linalozingatia Mateso na Utu wa Mwanadamu.
Wakili Malya ametutaka Mahakama tuzingatie Nyaraka hizo.
Jaji: Wakili Mallya ametupa kesi za Marejesho
Tundu lissu mwenyewe akija anakamatwa kwa kujump bail. Ni mkimbizi wa kesi zake.Wakuu,
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu.
Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii.
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi.
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?
Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua.
Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.
Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Kibatala hana uwezo kama tunavyoaminishwa ....
Hayo maamuzi umeyaona mzee. Au mnapayuka tu. Tafuta hayo maamuzi yanapatikana uone kama unachosema ni kweli au siyo kweli.Huyu bwana kwa jinsi tu alivyoandika, Anaonekana kuwa ana uelewa mdogo.
Mawakili wapo vizuri wamehoji kila kitu hakuna kuchuja kidogo kikubwa vyote lazima wahoji na imesaidia watu kujua PGO kubaini mateso kwa walinzi wa mbowe na uonevu wote waliotendewa kwenye kesi ya ugaidi hewa, Kwa mazingira ya kumpa Rushwa ya cheo jaji ni vigumu kupata haki hata angekuwepo Tundu Lisu, tayari Polisiccm na CCM wana hukumu zao nje ya mahakama hata awepo wakili gani lazima Jaji atavurunda kesi kwa vyovyote vile,Wakuu,
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu.
Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii.
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi.
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?
Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua.
Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.
Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Mawakili wapo vizuri lakini Polisiccm na CCM wana matokeo yao mifukoniUkiona wakili anapenda sana publicity, basi ujue huyo ni empty gun!
Vijana wa Lumumba kwa upotoshaji na blah blah tu, hamjambo. Huyo Jaji kibaraka wa CCM ametoa hukumu kwa kuzingatia MAONI NA MAHABA YAKE kwa chama bila kuzingatia sheria, huo ndio weledi wa Mahakama?Wakuu,
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu.
Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii.
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi.
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?
Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua.
Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.
Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Visingizio vipi? Acha ujinga wako, kesi ya mbowe ni kesi ya kubambikiwa ni ugaidi hewa mashahidi wa kutengeneza PGO imekiukwa walinzi wa mbowe wamepigwa wakateswa wakafungwa pingu saa 24 kila siku, sabaya na walinzi wake waliteswa kupigwa? walifungwa pingu saa 24 kila siku? Acha kuja na mfano wa kesi ya Sabaya ambayo ipo wazi yenye ushahidi wa wazi na ukweli na sasa Takukuru nao wanakuja na kesi zake zingine, mahakamaccm imegawa cheo kwa jaji ili avurunde kesi ya mboweKwa Sabaya mahakama iko vizuri na inapongezwa
Kwa mwenyekiti shida inakuja wenye mamlaka
Tuwache visingizio visivyo vya msingi
Visingizio vipi? Acha ujinga wako, kesi ya mbowe ni kesi ya kubambikiwa ni ugaidi hewa mashahidi wa kutengeneza PGO imekiukwa walinzi wa mbowe wamepigwa wakateswa wakafungwa pingu saa 24 kila siku, sabaya na walinzi wake waliteswa kupigwa? walifungwa pingu saa 24 kila siku? Acha kuja na mfano wa kesi ya Sabaya ambayo ipo wazi yenye ushahidi wa wazi na ukweli na sasa Takukuru nao wanakuja na kesi zake zingine, mahakamaccm imegawa cheo kwa jaji ili avurunde kesi ya mbowe
Huyu bwana kwa jinsi tu alivyoandika, Anaonekana kuwa ana uelewa mdogo.Maamuzi ya kimahakama yanaambatana na rejea ya vifungu vya kisheria au kesi zilizokwisha kufanyiwa maamuzi, Je kwenye maamuzi ya Hilo so shauri dogo hayo yameonekana?
Maamuzi hayana any legal justification. Wanasheria waliochambua wamemuanika wazi Jaji. Hata kama siyo mwanasheria kwa ushahidi uliotolewa na procecution bado kulikuwa na gap kubwa tu. Kama kungekuwa na Jury (Wazee wa Balaza), hiyo kesi haziwezi kuwa na maamuzi kama hayo. But if you really understand how the jury system works.Hayo maamuzi umeyaona mzee. Au mnapayuka tu. Tafuta hayo maamuzi yanapatikana uone kama unachosema ni kweli au siyo kweli.