Mawakili wa Serikali kuitwa kazini

Mawakili wa Serikali kuitwa kazini

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Ndugu wana JF.

Inakuwaje mtu anapewa barua ya kuripoti kazin kuanzia mwezi wa 10/2014 mpaka leo hajapangiwa kituo cha kazi?

Mwenye taarifa tafadhali kulikoni? Mdogo wangu yupo njia panda.

Nawasilisha.
 
Hawana hela hata jamaa zangu wa law sectetary paka leo wapo na mibarua yao tu. Tangu mwaka jana mwezi wa 11. Sijui kuna nini tume ya utumishi wa mahakama, isije ikawa AG werema kaondoka na kila kitu chake kaacha account nyeupe.
 
Sote Tunasubiri, Ngoja Tuone February, Lakin Issue N Pesa, Na Watu N Weng
 
Ndugu wana Jf. Inakuwaje mtu anapewa barua ya kuripoti kazin kuanzia mwezi wa 10/2014 mpaka leo hajapangiwa kituo cha kazi? Mwenye taarifa tafadhali kulikoni? Mdogo wangu yupo njia panda....
Nawakilisha.
Je mshahara unaingia kwenye account au?
 
Haaa Hakuna Cha Mshahara Wala Nin, Tulisainishwa Tu Kwa Karatasi Yenye Orodha Ya Watu 300.
msijali, subirini baada ya uchaguzi kutakuwa na kesi nyingi, mtapiga kazi mpaka mchoke
 
Mshahara utaingiaje wakati hata barua ya ajira watu hawajapewa na kituo cha kazi hawajapanga. Unayesema baada ya uchaguzi kutakuwa na kesi nyingi, kwahiyo wasubiri karibu na uchaguzi ndo wataitwa ? Pia hizo ajira ni zaidi ya state attorney na law secretary pale kuna ofisi asistants, personal secretary, security guards, receptionists and librarians.
 
kuna interview nyingine wanafanya kujaza iidadi nafikiri baada hapo tutaitwa wote
 
Kwanza badili kichwa cha habari, hakuna mawakili wa serikali ila kuna wanasheria wa serikali.
Back to topic; kwa kuwa usahili wa awali hawakupata idadi ya kutosha basi nadhani wameamua kusubiri ili wawaunganishe na wale watakaofanya usahili tar 03 feb. Naamini wataitwa wiki chache baada ya feb 03.
Mpe mdogo wako pole
 
Kwanza badili kichwa cha habari, hakuna mawakili wa serikali ila kuna wanasheria wa serikali.
Back to topic; kwa kuwa usahili wa awali hawakupata idadi ya kutosha basi nadhani wameamua kusubiri ili wawaunganishe na wale watakaofanya usahili tar 03 feb. Naamini wataitwa wiki chache baada ya feb 03.
Mpe mdogo wako pole

Sawa Lakin Pia Inaweza Isiwe Sababu Kubwa, N Mara Nying Watu Hupewa Vituo Na Kuanza Kaz, Idad Nyingne Wakiendelea Na Mchakato Wa Interview Kama Kuna Uhtaj Mwingine
 
Sawa Lakin Pia Inaweza Isiwe Sababu Kubwa, N Mara Nying Watu Hupewa Vituo Na Kuanza Kaz, Idad Nyingne Wakiendelea Na Mchakato Wa Interview Kama Kuna Uhtaj Mwingine

Ni kweli, lakini hilo hutegemea na mazingira. Kwa sasa serikali HAINA PESA, hivyo inafanya mambo kulingana na hali yake
 
Ishu apo ni pesa na sio wanataka wajaze hizo nafasi zilizoachwa, na hili ndo jibu wanalolitoa ukienda kuliza. Kama ni kujaza idadi kwann wasubiri mpaka 03 feb wkt majina walipewa toka november 2014, si wangefanya kitambo tu. hivi hakuna watu mlofanya nao usail tareh sawa mwaka jana na ambao tayar washanza kazi ? Kwann nyie tu. Kwa anayejua atufahamishe kibali cha kutaka wafanyakazi wapya si kinaendana na costs za kuendesha usaili pamoja na fungu la stahiki za ajira zao au ndo yale pesa za barabara zmepelekwa kwenye kulipa deni la taifa ?
 
kama hawana pesa vp tena warecruit wengine?
hizo pesa si zinatoka hazina, mbona wengine walioajiriwa baada wameanza kazi
 
Mwisho wa siku wadau tunaomba mtushauri kuhusiana na hili jambo, mm naamin si mara kwanza ishu kama hii kujitokeza...... karibuni wadau kwa ushauri jamani
 
Kwa waliokwenda kuulizia hivi karibun wanatoa majibu gani?
mwez wa12 2014 walijib pesa yenu walifanyia mambo mengine
 
Hivi vitu si dharura vipo kwenye bajeti na fedha zilitengwa ....Wabunge bado hawajafanya kazi nzuri ya kusimamia utekelezaji wa bajeti inayopitishwa......
 
Back
Top Bottom