Yaliyojiri Kesi ya Ubunge wa Lissu: Serikali yamwekea mapingamizi. Yasema baadhi ya maombi yake hayakidhi matakwa ya kisheria...

Mawakili Wa Serikali Wanaacha Kwenda Mahakamani Afrika Kusini Kutetea Ndege Yetu Wanajazana Kisutu (Mawakili 16) Kutetea Lissu Avuliwe Ubunge! Hii Nchi Vipaumbele Vyake ni tofauti na Nchi zingine #ATCLSouthAfrica
Usiwe na wasiwasi,wanajiandaa kwenda ile siku ya jamaa kuzungumza kiswahili iwe rahisi kwao kujieleza.Wataenda tu
 
Ndege imekamatwa wakati tayari kesi ya Lisu IPO MAHAKAMANI

PILI tatizo sio kwenda, Tatizo Je Kiingereza kinapanda?
 
Nikishaenda china ndio USA watalazimika kutumia kichina kwenye mazungumzo yao?
Unaniuliza unaniambia?
Mahakama ipo huru kutumia.lugha rahisi kwa wadau ili mradi tu haki.itendeke
Kutojua kiingereza sio tatizo mbele ya.mahaKama zetu,wapo wakalimani kwa kazi hiyo
Hata kesi ya samaki wa magufuli,wale mabaharia toka Thailand hawakujua kiingiereza ilibidi waletewe mkalimani
Mahakamani mwendesha.mashitaka anatakiwa atumie lugha ambayo kwake ni rahisi ili.asipotoshe mahakama,vivyo.hivyo kwa mshitakiwa anatakiwa asomewe mashitaka na kujitetea kwa lugha atakayoichagua ili atendewe haki
Wewe Nshomile baki.na kiingereza chako
 
Mimi layman nilitarajia Serikali itajikita katika kuthibitisha Spika hakujua Lissu alipo na hakujaza form za mali na madeni za mwaka husika. Sasa wanakana hata Spika hakumtoa katika ubunge na wananchi tunajua ndiye aliyetangaza kuufahamusha Tume ya Uchaguzi kuwa jimbo liko wazi.

Kama walifanya uamuzi sahihi hawana haja ya kuhoji kuhusu POA ya Mughwai - waende moja kwa moja wathibitishe Lissu hakujulikana alipo.
 
Si ndio type ya akina Kabudi hao!

Tunaambiwa Kabudi alipata GPA kubwa kuliko mtu yeyote tangu kuumbwa kwa ardhi na mbingu lakini hajui kutofautisha kati ya AND na OR.

Blah blaah tuuu maneno meeengiiiii na hadithi zake uchwara za TANU.
 
anahangaika tu ameshachelewa watu tunamuapisha soon sheria anazijua kazivunja makusudi
 
Wakili anayejua kiingereza ni Mabere Nyaucho Marando pekee .......hawa akina Lisu na Fatma wanaungaunga tu!
Duh ujasiri wa kunena hivyo unaupata wapi?! hata Msukuma mwenyewe kwa lugha tu alimkubali TL, Kwa shangazi ndio usiseme kabisa, kiswahili anaungaunga kweli lakini Kidhungu, chezea hangine pale hagumu ngosha!
Kuna mtu akiongea kidhungu mpaka tunaogopa utafikiri milipuko ya ATOMIC BOMBS ya Nagasaki na Hiroshima inarejereshwa!!
 
Official business and legal language ni moja tu. Unaifahamu?
Naona unalazimisha mambo
Nimskwambia kanuni za uendeshaji mahakama zinataka shauri liendeshwe kwa lugha nyepesi kwa wahusika,ili haki ionekane imetendeka
Hiyo official language kaa nayo itakusaidia tu mbeleni
 
Back
Top Bottom