Mawakala wanne CHADEMA wafa ajalini

Mpumzike kwa amani, tumshukuru Mungu kwa kila jambo.

Ni ajali kama ajali zingine,mipango ya Mungu isihusishwe na mambo ya siasa.
 
Wapumzike kwa amani safiri yetu moja.

Tumetoka mavumbini na tutarudi mavumbini.
 
Oishhhhhh Dah...Ni msiba mzito huu..Mungu awarehemu.
 
RIP ,uchunguzi ufanyike

Natumaini mpo mbinguni saivi ,hongereni kwa kufa katika kupigania haki hakika umekufa kishujaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…