Kamanda wa polisi visiwani Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad amesema baada ya wazazi wengi kuripoti kuwa kuna wimbi la vijana wengi visiwani humo kupotea bila kujulikana wanaenda wapi.
Jeshi la polisi liliamua kufanya uchunguzi na limekamata nyaraka mbalimbali zenye aya za kitabu kitakatifu cha Quran zinazohamasisha vijana kujiunga na kuziondoa serikali zote za kikafiri, hivyo kuashiria kuwa hayo ni mafunzo ya kigaidi.
CP Hamad amesema kuanzia sasa jeshi la polisi litaanza kufuatilia hata mafunzo yanayotolewa kwenye baadhi ya madrasa.
Cha muhimu haya yameonekana ktk ardhi inakodaiwa kuna nchi inafuata sheria za kidini na maandishi yameonekana ni ya dini husika pia kamanda anayetoa arifa ni dini hiyo hiyo na ni mwananchi wa nchi husika basi waachwe wajichunguze sisi tunasubiri taarifa.
Cha muhimu haya yameonekana ktk ardhi inakodaiwa kuna nchi inafuata sheria za kidini na kamanda anayetoa arifa ni dini husika basi waachwe wajichunguze sisi tunasubiri taarifa.