shirima Mathias
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 451
- 1,320
Ukiona huyo kijana anafaidi na wewe kaa hapo kijijini uwe unawaibia wazee.
Na huenda huyo mwizi anaangalia balance mara kwa mara, akiona mpunga upo anahamisha kiasiKwani kwenye simu ya Bibi yetu Kuna hela nyingi Sana kiasi kwamba anaibiwa hivyo na Bado nyie wote mnaomtumia na anayetumiwa hamjui hell zilizomo Ni sh?
Huyo wakala kama ame download App ya Airtel Money ili aibe hizo hela hakika angekuwa anazituma kwenye namba ambayo haijasajiliwa kwa majina yake ili asiache loose end.Na huenda huyo mwizi anaangalia balance mara kwa mara, akiona mpunga upo anahamisha kiasi
Huyo wakala ni mhuni sana, na pia huenda hiyo miamala 25 ambayo umeambiwa na Airtel inaweza kuwa ni miamala halisi kabisa aliyotolea mother pesa, ila huenda pia kati ya hiyo 25 baadhi ikawa ni ya kuibiwa eg huo muamala wa mwishoNimejaribu kufuatilia Tena ni kwamba hawa wazee wakienda kutoa pesa hawapi namba ya Till ya Airtel money, yeye anajitumia kwenye simu yake then mlengwa anapewa pesa na kuondoka.
So ninajiuliza anakuwaje wakala wa Airtel wakati Till ya Airtel Hana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mfano kama mzee ana Ten kwenye Mpesa yeye anampa elfu9 anabaki na BukuInamaana akijitumia anatuma na ya kutolea still anapata faida
Anajitumia bila Mama kujua, so aNawaibia Watu hivyoHuyo wakala kama ame download App ya Airtel Money ili aibe hizo hela hakika angekuwa anazituma kwenye namba ambayo haijasajiliwa kwa majina yake ili asiache loose end.
Mi nadhani atakuwa anamtolea hela huyo Bibi kwa kujitumia halafu anabalance makato ya kitolea hela ili apate faida kubwa maana haiwezekani mihamara zaidi ya 25 hela zinaibiwa halafu hawajui.
Kwanza badilisha no ya siri sasa hivi. Ukienda police hakikisha hiyo ishu unampa askari ambae unajua hawezi kukuzunguka.Au jamaa amesajili line nyingine ambayo Mama akiwa offline ndio jamaa anaweka na kufanya hyo miamala Mkuu?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa MkuuMleta mada inaonekana huwa hamtumii yeye izo pesa mama yake. Hivyo hazimuumi kwa sababu wanaotuma ni wengine ndo maana saivi Yuko huko kijijini anakenua tu.
Nitaenda polisi KureportKwanza badilisha no ya siri sasa hivi. Ukienda police hakikisha hiyo ishu unampa askari ambae unajua hawezi kukuzunguka.
Maana ishu kama hiyo si utawaachia no ya huyo kijana ili wafatilie? Watampigia simu wampige mzinga wamwambie kila kitu.
Cha kufanya mface direct nenda na mama mwambie nani kafanya mhamala huu wakati mama hajaja hapa? Mwambie ukweli kuwa ni yeye anaejua no ya siri na mpe onyo. Mbane pale pale akigoma mwache maana ashakula nyingi tu.
badilisha no ya siri tafuta mtu mwingine ambae ni mwaminifu kidogo ndo awe anamtolea pesa.
Lakini mwaweza mfundisha dogo huyo wa 12yrs awe anaenda na bibi yake kutoa hela.ingawa nae akinogewa ataiba tu, ila bora ale yeye na sio hao wezi.
Inshort mazingira ya mama yenu kutoa hela kwenye sim ni magumu. Mkimpa konda azipeleke mkono kwa mkono nae anazila dah inachanganya.
Mama anakuwa anajua ametoa
Yes Yaaani meseji ya Airtel money inakuja kwamba mama katuma kiasi fulani kwenye hyo namba ya huyo Wakala Wakati Mama wala hajafanya huo MuamalaMama anakuwa anajua ametoa
Miamala ambayo katuma na hajaenda kwa wakala iyo kaibiwa.Yes Yaaani meseji ya Airtel money inakuja kwamba mama katuma kiasi fulani kwenye hyo namba ya huyo Wakala Wakati Mama wala hajafanya huo Muamala
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Habari ya Mchana.
Niko Likizo ya Sikuukuu za Mwisho Wa Mwaka Huku Kijijini Kwetu.
Mama yangu Mzazi Anaishi Huku Kwetu Kijijini na Ni Mtu mwenye umri wa takriban miaka 90.
Watoto wake Uwaga tunakawaida ya Kutuma Hela Za Matumizi kwa ajili yake na Matumizi ya Nyumbani Kwa Ujumla.
Hapa Nyumbani Kijijini kwetu anaishi Mama, Mtoto wa Marehemu Kaka ana miaka 12, na Msaidizi wa Ndani.
Mama yetu licha ya Kuwa na umri huo Bado anatembea na anaona Vzr.
Kwa hyo Hapa Kijijini Kuna Kijana anafanya Issue za Mpesa, Airtel Money Nk kwa maana ya Money Transaction.
Kwa hyo Wazee wenye Umri wa Mama wanaenda Hapo Kupata huduma ya Kutoa Fedha so Kwa Umri wake na Hawezi kufanya process ya Kutoa pesa.
So Wazee Wetu wakifika Hapo kibandani kwa hyo mwamba wanatabia ya Kumpa Simu Ili Awasaidie kutoa kiasi wanachokihitaji so huyo Jamaa anajua Namba za Siri Za Kutolea pesa za hawa wazee wetu Hapa Vijijini.
Sasa Juzi Niko Na Mama Tumekaa mida Ya Sa12 jioni Ikaingia Meseji ya Airtel money Kwamba Mama amefanya muamala wa 145000/=kwenda kwa hyo Wakala kwa namba yake binafsi.
Nikamuuliza Mama leo umeenda kutoa pesa kwa hyo Wakala wa hapa kijijini, Mama akaniambia sijaenda huko na hata kama nikienda siwezi kutoa hela yote hyo na natumaje hela kwa namba yake binafsi badala ya kutoa kwenye Till # ya Wakala.
Sasa huyu Mtoto wa Braza akanaMbia kama week hivi ilikuja meseji Kwamba mama amemtumia hyo kijana tena 18500/=
So ikabidi nifuatilie kwa Kupiga Namba ya Huduma kwa Wateja Ya Airtel, Wakaniambia kwamba ni kweli Muamala huo umefanyika na ipo miamala mingine takribani 25 ambayo mama yako ametuma kwa hyo kijana.
Ikabidi nimuulize hyo mtaalamu wa Airtel kwamba inakuwaje anaamisha pesa kutoka kwenye simu ya Mama na Simu wakati anayo Mama?
Wakanijibu Kwamba yawezekana huyo Wakala ana Smartphone ambayo ame download apps ya Airtel money So Ndio anatumia kutoa hyo pesa hata kama hana simu.
Wakaniambia Mtu akiwa na hyo Apps yoyote ya hizi huduma za kifedha na akawa na namba yako ya simu na akawa na namba yako ya Siri anauwezo wa kutoa au kuangalia Salio lako bila ww mwenye simu kujua.
Wakuu niko njia panda naombeni ushauri wenu jinsi ya kudeal na huyu Mtu Kabla Sijarudi mjini maana atakuwa ameshawaumiza Sana Wazee Wetu Hapa Kijijini.
Nawasilisha Wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mwizi,mkamateni tuWakuu Habari ya Mchana.

Asante kwa ushauri MkuuIta polisi wambebe , atatema zoote, watu wa kijijini akiona polisi anaweza hata ajikojolee kabla ya kufanywa lolote na ikiwezekana peleka mahakamani chaapu
Hivi unajielewa kweli wewe....
Kwanza ningekua mimi ndio moods nishakupiga ban ya wiki mbili ili akili ikukae sawa.
Watu wenye akili mgando kama wewe ndio wanao chelewesha mabadiliko ya hiki chama cha kijani kutoka madarakani.
Yaani hadi ushahidi unao, jamaa alitakiwa saizi yupo ICU na pingu mkononi anasubiri kuzindika tu ajikute mahakamani hata kama ni jumapili.
Mama amesema vijana TUCHAKARIKE
Una maneno yenye busara sana Mungu Akubariki Sana MkuuMama yenu huyu ni Saa Mbovu , asee mimi hawezi kuwa mama yangu huyu