Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ile project yenu ya atake asitake tutamwongezea muda imekuwa kama anguko la mnala wa babeli kwasasa mnaongea lugha zisizo eleweka
Hajui kuwa enzi za mabavu na ubabe usiokuwa na tija,umepitwa na wakati.Weye huwa kichwampala kweli.Unashauri waburuzwe korokoroni au wapelekwe mahakamani haki itafutwe?Bado una akili za kushikiwa sana na kupenda ugomvi.Utakuwa unaandika huku umenuna na kumuwaza Mbowe!🤣🤣🤣🤣🤣
Zile 20,000/= wanazochangishwa kila Mmachinga zinatozwa Withholiding Tax?Weye huwa kichwampala kweli.Unashauri waburuzwe korokoroni au wapelekwe mahakamani haki itafutwe?Bado una akili za kushikiwa sana na kupenda ugomvi.Utakuwa unaandika huku umenuna na kumuwaza Mbowe!🤣🤣🤣🤣🤣
Weye huwa kichwampala kweli.Unashauri waburuzwe korokoroni au wapelekwe mahakamani haki itafutwe?Bado una akili za kushikiwa sana na kupenda ugomvi.Utakuwa unaandika huku umenuna na kumuwaza Mbowe!
Wenzako CCM wana vushwa huku na "one love" wewe bado umeng'ang'ania siasa za yule aliyefyekwa na korona?Mwamba tuvushe
Zile 20,000/= wanazochangishwa kila Mmachinga zinatozwa Withholiding Tax?
Anza na pesa wanayotozwa Machinga kutaka itozwe kodi = TRA MPO?
*mnaraIle project yenu ya atake asitake tutamwongezea muda imekuwa kama anguko la mnala wa babeli kwasasa mnaongea lugha zisizo eleweka
Acha wenge wewe!! CDM wapo kidigital nyie endeleeni na analog.
Enzi za kuburuzana na kupelekeshana zimeisha.Ndugu zangu,
Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, Chadema wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.
Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au Chadema wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa Chadema na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.
Tuijenge nchi yetu.
Naona unanitungia sheria kichwani halag unataka itumike nchini. those days have gone brother..Ukilipwa kamisheni,lipa kodi la sivyo utakabiliwa na mkono wa sheria
Kulipa kodi sio ubabe. Ni wajibu.Unafikiri hizo barabara mnazotaka kutumia kufanya maandamano pesa za kutengenezea anatuma Robert Amsterdam!?Hajui kuwa enzi za mabavu na ubabe usiokuwa na tija,umepitwa na wakati.
Ni nguvu ya watumia akili kidogo ubabe mwingiKulipa kodi sio ubabe. Ni wajibu.Unafikiri hizo barabara mnazotaka kutumia kufanya maandamano pesa za kutengenezea anatuma Robert Amsterdam!?
Jibu hoja. Kodi mnalipa hamlipi? Kama hamlipi ni UBABE tu!!!!Ni nguvu ya watumia akili kidogo ubabe mwingi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Bado mpo wazee wa kujipendekeza na kutafuta vyeoNdugu zangu,
Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, Chadema wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.
Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au Chadema wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa Chadema na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.
Tuijenge nchi yetu.
Mlisha wahi kulipa,tupe mkeka wa uhakiki uliofanywa na ile tume, tupitie mradi mmoja baada ya mwingine tuone asiyelipa kodi ni nani.Jibu hoja. Kodi mnalipa hamlipi? Kama hamlipi ni UBABE tu!!!!