Mavuno House inaungua hapa posta.....

vkeisy2006

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
229
Reaction score
99
Yani watu wako chini hapa wamekimbia wote ofisini hapa
 
nini kimetokea? mavuno house ndo siku hizi Benjamin Mkapa au sio?
 
Duh Pole yao. I hope 'faya' wamewahi eneo la tukio. Cha ajabu utakuta watu wanajazana kushangaa na fire engines zinakuja bila kuwa na maji.
 
yani bado hatujajua....umejuaje kama watu wanshangaa hapo badala ya kukimbiaaa..hahahaha tanzania kweli nyuma na hman hat afire hap acjui...
 
Hii itakuwa mambo ya Tanesco au tupeni full detail pls
 
yani bado hatujajua....umejuaje kama watu wanshangaa hapo badala ya kukimbiaaa..hahahaha tanzania kweli nyuma na hman hat afire hap acjui...


Poleni na wewe ulikuwa kwenye Jengo hilo?
 
Too bad!
Huduma za moto si zipo jirani hapo faya...inakuwaje hawajafika tu?
 
Mpaka fire wafike sehemu kubwa ya jengo itakuwa imeungua, licha ya fire kuchelewa sehemu ya tukio kuna sababishwa na vitu vingi vitendea kazi vyao ni vibovu barabara nazo pia zina changia yaani ni kero tupu nchi hii.
 
Hii ndo BONGO.. Mioto ndio majanga tuliyoyazoea!! Poleni sana!
 
Kama jina la jengo lilivyo jamaa ndo wana VUNA wasichopanda hahahahahahah
 
any updates wakuu?

je ni jengo zima linaungua au floor moja? na kama ni moja ni chini au juu?

nadhani kabla ya kuanza kulaumu, au kutoa kejeli (ref post #13) ni vizuri kujua hali halisi, kuna wengine tuna ndugu, jamaa au marafiki wanofanya kazi humo kwenye hilo jengo!!
 
Kwanza hiyo traffic jama iliyopo Dar siku hizi..hata kama fire wako efficient sijui watapaa?
Leo it took me 3 hours on the road to reach the city centre mahali ambapo ningetumia dakika 30 tu!
Kwa kweli the Govt must do something urgently vinginevyo tutarajie maafa makubwa kadri sku zinavyokwenda.
 
mavuno hausi ipo mtaa wa azikiwe, jirani na iliyokuwa Empire Sinema, mkabala na GAPCO PETROL STATION na IPS BILDINGI!
 
Any update yeyote kuhusu kilichosibu Mavuno house kuungua...au wakuu mpo lunch..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…