tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
DODOMA: MAKAMU Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Peter Mavunde, amewasihi Watanzania kudumisha amani na utulivu wa taifa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Ametoa rai hiyo Jijini Dodoma wakati taasisi hiyo ilipotembelea miradi ya kimkakati inayotekelezwa na serikali Jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya kuenzi maono ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mavunde amesisitiza kuwa Watanzania hawapaswi kuruhusu kundi dogo la watu kuharibu amani na mshikamano wa kitaifa.